Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Mkuu kwanza pole sana
Mimi mwenzio yalisha nikuta hayo kama 5 month hivi mkuu cha kufaya jaribu sana kuwasiliana na mke wakati wa kulala mpigie simu kwa kama nusu saa hivi mkuu jaribu kuvuta hisia kama vile mpo pamoja in the same truck mkuu itakusaidia sana.
 
Nilitokaga nje ya ndoa,nikaja kuumwa typhod na malaria,kichwa na mgongo na shingo,we acha ndugu yangu,niliteseka kwa mawazo ile mbaya,na kukonda! Mwisho wa siku nikaenda kupima hiv,sina,bado mke wangu akiumwa kidogo nakuwa na wasiwasi sana,juzi 2mepima na wife 2ko ok na wife ni mja mzito,
 
........... kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
  • Ndugu Mvaa Tai Hapana hutoshidwa, endelea na huo msimamo wako. Kama umemaliza miezi miwili basi utaweza kumaliza hiyo iliyobakia, Mwili utazoe na mwisho utafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kaka hebu angalia imani yako ya kidini inasemaje, na hasa ukizingatia kiapo chenu cha ndoa. Kwa kuangalia ktk mtazamo huo utapata jibu muafaka.
 
Mpigie simu mkeo, ongea naye, umuulize yeye maisha yake anayaendeshaje bila wewe huko aliko. Then, ufanye kama anavyofanya, maana nyie ni mwili mmoja.

Hili ndiyo wazo bora kuliko yote humu uliyo pewa. Hivi jiulize, unaweza kumfahamu mwenye HIV ukimwona kwa macho? Hivi itakuwaje, kama mkeo huko anajichua kila akikukumbuka akaulinda ubikira wake mpaka aje uufunue tena uukute intact! Ni heshima iliyoje??
Mbona unataka kuleta balaa home? Kama ungewekwa sero kwa kuonewa tu miezi 8 ungebaka huko? Mbona una mawazo ya kitoto hivi? Ulivyo moyoni ndivyo ulivyo. Yaonyesha kuwa ulikuwa unangojea atoke upate kisingizio tu cha kutoka nje. Kumbuka, asali hailambwi mara moja tu. Tena kuna neno linalosema; "Nyama ya wizi ni tamu."
Hata akija nyumbani mkeo bado utaonja nje tu. Kichupa kujaa si ugonjwa zitatoka zenyewe siku moja.
 

Mfate bwana mbona nauli kidogo tu kuliko ngoma na kuikosa familia mzee.
 
Kama vipi mfuate aliko, ukapige kadhaa na urudi... Ila wasiliana naye usije ukafunga safari kumbe mwenzio yupo hedhini...
 

Mkuu kama hujaharibu natoa pongezi sana kwa uamuzi wako ni wachache wenye moyo huo tatizo lako ni dogo sana wewe huwa unalala kibudu.
Namaanisha kuwa wewe ukilala huwa huna maombi fanya maombi mpaka utakapo pitiwa na usingizi hali hiyo itatoweka shetani huwa ankuchezea. Mimi mkuu nafanya kazi nje huwa napiga mpka miezi sita bila shaka na nikiona halinkama hii huwa naikiwa kwa bed nasoma maneno matakatifu mpaka nalala. Usikie ushauri wa kwenda kona baa ni laana hiyo
Ubarikiwe mkuu
 

Kweli nilienda mbali
 
Kamata papai lililoiva kata upate tundu size uitakayo anika juani unapoenda kazini,ukirudi jion utakuta limekauka na lina ujoto kwa ndani ingiza huyo babu..TWENZETU!

Kwa mtu ambaye hajaingia kwenye ndoa ni raisi kuishinda hali hii kuliko mtu ambaye yuko kwenye ndoa.
 
Acha ujinga kabisa,,mimi nililala na mke wangu kwa miezi 6 akiwa na mtoto mdogo bila kuduu,inakuwaje wewe ushindwe? Kwanza umri wako ukoje, vijana wadogo ndo hawawezi,

Naona kama hunisaidii vile maana huniambii ulitumia mbinu gani? Au hivyo ndo ulivyoumbwa? Mimi nina miaka 34
 

Nimekupata kiongozi
 

Asante mkuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…