Mimi nasubiri siku ukileta uzi mwingine hapa jamvini ukiomba ushauri ufanyeje wakati wako yu karibu kurejea na kimada ana mimba na amekatalia ndani kwako.
you are welcome!haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa royna u made my evening thank you.
Nimekuelewa kiongozi ila hapo penye nyekundu nimepaelewa zaidi kwasababu hata mimi Roho yangu ipo kwa wife ila tatizo ni hili limwili tu ndo linanizingua.
ningekuwa nataka kula nje nisingetuliza ball miezi miwili, mimi sitaki kutoka nje ndo maana nimekuja hapa labda nitanusurika kwa kupata uzoefu kwa wadau
ukiona kitu kinakufanya utende dhambi kikate..!
Kaka kaka nimepiga hesabu za haraka haraka naona hata nikienda na kurudi tu natakiwa nitafute si chini ya M3, Kuna maushauri kibao nilipewa na washkaji najaribu kuyafanyia kazi lakini...............
Mm nna shida please nisaidieUsipopata soln utuite na sie wanawake watu wazima
Siri yangu
Sure kabla hujaoa,yaani muda kati ya kubalehe na kuoa ulikuwa unaishije?Sasa pengine humuamin mkeo? Mie nakushaur mkuu kabla hujaish na mkeo namaanisha kabla hujamuoa mkeo ulikua unaish VIP? Nijibu nikuoe njia mbadala maaana mke ni heshma kubwa haswa kwa anaejielewa vipuku puku ni uvundo na ukiiukabili bas hata ukoge vip utanuka vindo na mkeo atagundua kama muaminif ila Kama nayeye anapinda nje bas mtawanukisha watoto wenu vundo hilo la ngono zembe