Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Acha fikra potofu ndugu yangu!!!!!!!!!!!!!!we ni nani mpaka useme hivyo? we ndo ulimuumba mwanaume na unamjua ndani nje mpaka ufikie mkataa huo?Mungu aliyeumba wanadamu anajua mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mmoja tu na wala asipate madhara yeyote,na ndio maana alimpa Adamu mke mmoja tu hawa,acha fikra hizo amini mume aweza ishi na mke mmoja tu.kama huwezi kuwa na mwanamke mmoja badilika kuanzia sasa jitune katika hali aliyokuumbia Mungu na usijitune katika hali uliyojizoelesha nayo wewe na akila yako.
HAKUNA MWANAUME AISIYE NA MATATIZO YA KIAFYA,KIAKILI MWENYE MWANAMKE MMOJA!!!!kubipu muda mwingine hakuepukiki!mapadri na masheikh wameshindwa sembuse wewe mkuu
 
Nakushauri ufanye phone sex wewe na mke wako uume utasimama kisha utajikuta unamwaga bila wewe kujitambua na utapata raha kama vile ume fanya mapenzi na mke wako. Ikiwezekana jiunge na skype kisha itakuwa rahisi sana kuuridhisha mwili wako.
 
Pole bro, ni hali ya kawaida kutokea kwa kuwa ulishauzoesha mwil kufanya hivyo, nakushauri ikifika usiku unapokuwa kitandani peke yako, jaribu kuvuta kumbukumbu ya mambo ya kuchekesha uliyokutana nayo toka ukiwa mdogo, hiyo ni kwa kuanzia lakini endelea mbele kwa kufukiria mambo mengine zaidi tofauti na ngono, fikiria kuhusu ndoto za maisha yako ambazo hujazitimiza, anza kuweka mikakati ya jinsi ya kuzifikia, pia Mkumbuke Mungu wako, na maisha utakayoishi baada ya kufa mi nadhani ukiweza kufanya hivyo kwa wiki tatu mfululizo, hali ya kutamani kufanya mapenzi itaondoka yenyewe.
 
Thanks best, ila mimi nilidhani wanaume tu ndo wangekuwa wanaushauri sahihi maana hali yangu wanaielewa vizuri

Hapana best nao wanakosea c umeona pumba walizotoa ni wachache walokushauri kwa hekima..
Most of them wanacheat so, what do u expect from them? Defenatly watakuogoza kwenye mapito wavuti/wannayopitiai
 
Yaan kama umezidiwa piga puli hahaha nje ya ndoa magonjwa mengi au tumia kinga...japo najua unajiendekeza tu maana hiyo hali inavumilika sana sana....omba Mungu akusaidie na akili za jf changanya na zako kisha ukokotoe kwa makini..
 
 
Oooh! Mr Faithful, what if kama mkeo huko alipo kuna msela anammega kumpungunza nyege!!

Woman just like a device it's pairing nearest device.

Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!

Acheni kuwa na imani potofu kwa wenzi wenu badala yake waoombeeni wavishinde vishawishi!
 
Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi

soma bible kwa kila unapohisi safari ya nyegezi inakaribia tena usome vile vifungu vinavyopinga zinaa na uasherati!
 

Una akili sana wewe!

Source: Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Kwani BEKI 3 yuko wapi? moja ya majukumu yake ni kukupunguzia stress wakati bosi wake hayupo,hulijui hilo?????????????????nitarudi baadae nalog off!!!!
 
Kwenye mambo km haya ndo utaona kwa kiasi gani? tuko tofauti Niliwahi kusema kwenye Uzi huu! kwa mtazamo wangu hii NDOA ni changa so hayajawakuta makubwa that Y wanakuja na maswali km haya! Nimesema inawezaekana wyf wake akawa na mcmamo lkn mazingira ya huko aliko yakamlazimisha akaGEGEDWA najamaa akishtukia kuwa mkewe katafunwa itakuwaje? Ikiwa yeye kaya2nza magundi ezi6 Hawawezi kuuana? Wa2 wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa!
 



Mkuu unataka tukutunukie shahada ya uvumilivu au? Usijinyime kihivyo kwani nina uhakika hata mkeo huko aliko naye anamegwa na wajanja walioacha wake zao nyumbani. Kumbuka kuwa wanawake nao wana nyege kama sie wanaume au hata kutushinda hivyo jitafutie wa muda tu mpaka mamaa arudi, ukijinyima kwa hiyo miezi 6 kwa kiburi chako unaweza kujikuta unasahau hata pa kuingilia siku mkeo anakuambia mwenzangu njoo basi kitandani.
 
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi,
Kama utaacha porojo za hapa kwa MMU na utajichunguza dhamira yako ya ukweli utagundua..


  • Unatudanganya ..Naamini haukuwa mwaminifu katika ndoa yako..au mkeo hukumpenda kiukweli zaidi ya bendera fuata upepo..Mara nyingi vijana ambao wameoana , na wanaopendana kiukweli kabla ya kuwa na watoto wanapitia kipindi cha mchakato wa maendeleo kwa ajili ya kujenga familia..Katika kipindi hiki probability ya kuwa na mawazo ya ngono nje ya ndoa ni finyu sana hata kama mmoja atasafiri kwa muda mrefu.....Automatically, hayo mawazo yanakuwa hakuna..sehemu ambayo ingechukuliwa na hayo mawazo inakuwa imetawaliwa na mawazo mengine ya maana..Ukijona wewe mawazo yako yako kwa ngono ujijue unafikiria mkate wa leo na kesho na sio wa kesho kutwa..Na most probable ndoa yako itachuja mapema sana...
  • Kama mmeoana na mna watoto na wewe kama Baba unapenda familia yako na watoto wako basi hayo mawazo yanakuwa hakuna..ni Human instinct.. Ukiona wewe unatawaliwa na hayo mawazo basi ujue tayari umekosa vigezo vya kuitwa mume au baba..yaani ni mzinzi.. Huna haja ya kuja kuomba ushauri hapa ili kuhalalisha uzinzi wako..

Ushauri wangu... Hakuna ambaye atakupa ushauri hapa.. unachotakiwa kukumbuka ni kuwa "dhamira yako na moyo wako ndio suluhisho la pekee" Chunguza dhamira yako mara 1000! Kumbuka Asimilia 95% ya wewe kuitwa Mume au baba wa familia siyo uwezo wako wa kusimamisha hiyo ndude yako... kuna vigezo vingi vingi ambavyo vinaweza kutawala mawazo yako na kushinda tamaa zako za kimwili... Katika asimilia 100% ya wewe kuitwa Mume au baba ...asilimia 5% tu ndio ya mawazo yanayohusu hiyo ndude yako hivyo basi ni rahisi kuidhibiti bila kuja kuomba ushauri hapa MMU.. "Tafakari na chukua hatua!

Good Luck!
 
Kudumu kwa NDOA kunahusisha mambo mengi hata kuCHEAT nisehemu yaikudumisha NDOA issue unacheat ktk mazingira gani! mfano huyu ndg mleta mada km atacheat hata Ikitokea wyf wake nae akamegwa huko hata Jamaa akijua Jazba itapungua 7bu anajua nayy alifanya so wanaweza kuombana sorry maisha yakasonga! Lkn 1 ajitunze mwingine atoke kisha aliejitunza akajua nambie nini Itatokea hapo 2ache blah blah hzi mambo ningumu wandugu!
 

wanaume wote mngekuwa hivi, ingekuwa raha sana!!
Kutokujitambua na tamaa ya ngono ndio inawasumbua wengi!
 
Kwani BEKI 3 yuko wapi? moja ya majukumu yake ni kukupunguzia stress wakati bosi wake hayupo,hulijui hilo?????????????????nitarudi baadae nalog off!!!!

Acha 'kumisilidi' watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…