KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,611
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick: