Kwa wanaume wa JF

Kwa wanaume wa JF

Dume liameamua kujipigia promo kiroho safi 😅
Jamani watu mtafika mbinguni mkiwa mmechoka Sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Kumbe ndiomana nikifungua pm inakuwa nzito!!
Kumbe kuna watu mnashinda mnapigana mizinga
😁😁Kuna watu wapo wanasoma comments za watu humu wao hawareply wala kulike wanaenda kimya kimya we unashangaaa mtu yupo piemuni
 
Back
Top Bottom