Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,903
- 105,471
Ji
Jibu PM yangu huko na wewe sio kubembelezea wengine.[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] Pm ipi?
Kwanza tandale ushahama?
Ji
Jibu PM yangu huko na wewe sio kubembelezea wengine.[emoji28]
Watoto wazuri nnao wengi kama wametumwa, mpaka nawakwepa au nikupe umpe kaka yako? 😂Wewe hutaki mtoto mzuri jirani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa shemeji kuhama bado sana jobless mimi😅.[emoji23][emoji23][emoji23] Pm ipi?
Kwanza tandale ushahama?
Hhhhhh kumbe mlkuwepo kweny ule mgomo[emoji1787][emoji1787] umetisha mwanangu.....Mwanangu nlijua rafiki mwema nkamsikiliza mwisho ikafata invoice [emoji16]mi hua na tabia ya kumdadisi mtu kidogo nimjue huenda kwel ana tatizo lkn approach ikawa changamoto aisee kila jibu analonipa linanipa maswali kama kelele za mwalimu yuda kipindi kile cha ule mgomo wa ule mchango[emoji1787][emoji1787]
Hapa ni home of great thinkers sio home of seducers!!Jamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Nitakuja na mrejesho wapenzi.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
View attachment 2786733
MREJESHO.
Hadi muda huu wapenzi wangu wa jf nimeweza kupokea PM kama 50+ kweli nimeendelea kulithibitisha nilisemalo.
Micheke mie[emoji23][emoji23]
Jf man man swaga za kizamani kweli.
Ebu nione itakavyoishia.
Kwa shemeji kuhama bado sana jobless mimi[emoji28].
Kabisaaaaaa🤣Unakaa kwa shemeji afu tandale? [emoji23][emoji23][emoji23]
sihitaji kwa sasaCazee lakini mtoto mzuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu hapendi pesa kabisa
Kabisaaaaaa[emoji1787]
Tandale+ kwa shemeji + jobless
Vipi lakini PM jibu langu napata?
MamaAcha ukorofi 😂
sihitaji kwa sasa
Unajirusha akili eh?Pm ipi? Unaongelea vitu gani wewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajirusha akili eh?
Ulisema Utanipea kazi na majini ya kikwenu huko niwe tajiri au umesahau?[emoji1787]
Haina shida huyo nyoka hadi kileleni atafika na atawasimulia .[emoji23][emoji23][emoji23] utaweza kulala nyoka?
Afu usiku uikaze?
Kula Shem hainagaUmepania nini? [emoji23][emoji23]
Uyo jamaa kachanganya mafaili country wide 🤣🤣Uliniandikia nini kirikou?
Nautoto gani na mimba unaweza kubebs Shem 😆We mtoto taratibu aniulize nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haina shida huyo nyoka hadi kileleni atafika na atawasimulia .
Mmmmh bado hujasemaMara pap jf imekukamata na wewe mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]