• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

cutelove

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,287
Points
2,000
cutelove

cutelove

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,287 2,000
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
 
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,695
Points
2,000
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,695 2,000
Nani kakwambia kondom zinazuia ukimwi? Watu wanakuja na test pack wanakupima ngwengwe halafu wanapaka ky mwanaume unateleza tu kokote. Na we kushinda na wanaume wa mitandao kwani huko bukoba hamna wanaume?
 
Brian Spilner

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
495
Points
1,000
Brian Spilner

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
495 1,000
Ulisema mngepima ungekaa hoteli wiki ee
Haya twende tukapime uje ukae kwangu miezi.

Nimegundua wewe unapenda sana ngono, kama sio basi hili ni tangazo la biashara.

Halafu unapenda sana wanaume wa JF kwa mentality yakua ni wasomi na pengine wana maisha.

Kuna wakina sisi huku, shauri yako.
 
mizy gajo

mizy gajo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
725
Points
1,000
mizy gajo

mizy gajo

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
725 1,000
Nani kakwambia kondom zinazuia ukimwi? Watu wanakuja na test pqck wanakupima ngwengwe halafu wanapaka ky mwanaume unateleza tu kokote. Na we kushinda na wanaume wa mitandao kwani huko bukoba hamna wanaume?
Nani kakwambiaa condom hazizuii ukimwi...
 

Forum statistics

Threads 1,402,885
Members 531,007
Posts 34,408,174
Top