Kwa wanaume wa JF

Kwa wanaume wa JF

Jamani.

Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.

Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.

Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.

Nitakuja na mrejesho wapenzi.

Uwe na swaga.

Usiku mwema[emoji26]
View attachment 2786733


MREJESHO.

Hadi muda huu wapenzi wangu wa jf nimeweza kupokea PM kama 50+ kweli nimeendelea kulithibitisha nilisemalo.

Micheke mie[emoji23][emoji23]

Jf man man swaga za kizamani kweli.

Ebu nione itakavyoishia.
Dah..
Ume post uzi saa 2:19 usiku huu, sasa hv saa 4 na ushee tayari uzi upo page 19 !!!

Aisee, sisi Me na mbususu ni kama mdomo na mate.

Wacha nisubiri kwanza madogo waruke rukee, halafu mwishoni nasepa na mrembo😁
 
Back
Top Bottom