Kwa wanaume wa JF

Kwa wanaume wa JF

MREJESHO.

guyz hadi ninapoandika muda huu,kwenye pm yangu Ina watu 30 humu kwenye comments wanajiongelesha ongelesha[emoji13][emoji13]

Ila kinaendelea vizuri wapenzi wangu soon I will come to give a feedback[emoji5][emoji5]

Kiukweli jf man ni vichomi.

Nicheke mie[emoji23][emoji23][emoji26]
Hakuna hata mmoja uliyemkubali?
 
We kifaranga huna cha kunifundisha. Kua ujue kuyatamia mayai kisha ndiyo usemezane nami.

Nenda huko wewe kama umevutiwa napo. Ngedere wewe.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Punguza makhasirikooo
Khaaaa, hapo umevimba mwenyeweeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaaa
 
[emoji16]sidhani kama Kuna sehemu nimeandika namba ndefu kiasi Cha kushtusha jamii mm ni mtoto wa mkulima tu ninayeishi chini ya Dola moja kwa siku

Hujanipa mlivyoishia piemuni bana, mbona story nusu emu kamilisha story [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom