Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Joined: Today at 5:30 PM
Jamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika ila vitendo asilimia sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uko winja winjaa weyee, khaaahNyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na I’d mupya [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote
nasanua wana😂Acha ukorofi 😂
Umezidi kuandika namba ndefu unapotoa ushauri wa kibiashara matokeo yake hayo 😂😂😂Humu mda mwngn tunasoma thread tunapita kimya kimya hata unakosa Cha kucomment! Ngoja nisiongee jambo ila kuna mbuzi shenzi type iliniomba nifungue PM nikamsikiliza🤔🤔🤔.......itoshe kusema mirembe ina graduate wengi Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani utongozwe hata sura tu siijui????
Wamaume dhaifu tu wasiojielewa ndio utakao wapata,
Pengine una vigimbi kama vya Nsajigwa,
Mwanamke ambaye simu zinaita hana huu upuuzi.
[emoji3][emoji3][emoji3] tangazo lipo creative sanaSafi, nimependa hujui kujivunga mdau. Tuwekee na bei kabisa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, woiiiihWewe single mazafanta tulia kwa vibenteni ule miguu ya kuku na utumbo
Na hili joto ni balaa😂😂😂nasanua wana😂
Kama ulikuwa kwenye akili yangu [emoji23]
Hali ni ngumu kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani kila mwanamke wa kuliwa kimasihara[emoji29]Una shida kubwa. Emotional problems, na usipokuwa makini unaliwa kimasihara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uko winja winjaa weyee, khaaah
nasanua wana[emoji23]
Nina maisha yangu mie sina njaa.Wewe single mazafanta tulia kwa vibenteni ule miguu ya kuku na utumbo
🤣🤣🤣Jua linawaka kila sehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute kweli🤣🤣🤣🤣Unaweza kukuta ni Mwachi anatuchora [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanataka kutongozwaa, sijui watongozaji wanakwama wapiii??Udugu hali ngumu watu wanakuja kivingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah mbavu cna. WoiiiiihUnaweza kukuta ni Mwachi anatuchora [emoji1787][emoji1787][emoji1787]