Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Mmhh kwani wapi nimesema inaniboa mkuu, huwezi amini i am so very proud of who i am, nikibadilika nitakuwa nimebadilika sababu ya jamii tu na si kutoka moyoni
So huwa unavaa mipensi na mitisheti mkuu??
 
Nyie pisi kali mno , sema walaji wanapita kimya kimya tu wengine sie midomo tu😅
Kuliwa JF? 😹😹
Sijui kwa wengine ila kwangu wengi nawazingua coz wanasikia raha wakiitwa babes..!!

Humu kujitafutia dipresheni tupu, halafu wa mtaani ndio hawa hawa wa humu.
Tofauti ni location 🤣
 
Kuliwa JF? 😹😹
Sijui kwa wengine ila kwangu wengi nawazingua coz wanasikia raha wakiitwa babes..!!

Humu kujitafutia dipresheni tupu, halafu wa mtaani ndio hawa hawa wa humu.
Tofauti ni location 🤣
Hahahaha popote kambi tu
 
Kupenda huwa na sababu kwa kila mwanauke na wakati mwingine hakuna sababu ya msingi,hisia tu zimetembea,
Frequency za miili kuendana,
Na ndo maana tunatamani nyashi lakini tunaoa ambao hata nyashi hamna
 
Sifa gani nyingine unapenda?
Yule amabaye muda wake wa ziada anatumia kusoma vitabu.

Je wapo hawa wanawake?
-Ndio, Kama huamini pitia hii thread: :123RNG:
 
Back
Top Bottom