Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

kwamba mm si wa kupendwa kabisa,, sijajiona hata mara moja kwenye izo sifa
 
🤣🤣🤣🤣@litara kimura huwa maana ake nini?
 
Nauliza ukiwa tomboy kuna uwezekano ukapenda wanawake wenzio kimapenzi?
Si lazima kuna tofauti kati ya tomboy na lesbian, kuna matomboy wako na wanaume kama kawaida, na kuna malesbian wako na haiba za kike kabisa kiasi huwadhanii
 
Ooh kumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom