Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Mwenye umbo kama la binti wa zamani
0AB0B441-94F8-4FBB-9ED1-A4F11592E335.png
 
1.mwembamba
2.mnene
3.macho makubwa
4.macho madogo
6.nyashi kubwa
7. V-shaped face
8. Oval face shape
9. Miguu wa bia
10. Curved shape
11. Mfupi
12. Mrefu

1. Mcharuko
2. Mbea
3. Mpole
4. Mwenye makelele
5. Gubu
6. Mchamungu
7. Wa mituuuungi

1. Tom boy
2. Mweupe
3. Cheusi
4. Maji ya kunde

Sifa gani nyingine unapenda?
Ipi ni sifa yako hapo nifikirie
 
Cool Kama haikuboi, ila for long run sioni kama it's worth it!
Halafu unajua mimi najiweka kawaida tu, ila wanaonizunguka ndio husema najiweka kama tomboy, eti kwa vile nanyoa, sipaki makeup, wala kuweka urembo wa aina yoyote, na kwa vile eti navaa suruali/bukta na mashati/matisheti zaidi, kuliko magauni/sketi na vitopu/blauzi nk
 
Mi nawa unga mkono, binti lazima uwe na mwonekano au haiba ya kike.

jaribu kusuka, kuvaa sketi mara moja moja, maana baadae utakuwa mama!
 
Mi nawa unga mkono, binti lazima uwe na mwonekano au haiba ya kike.

jaribu kusuka, kuvaa sketi mara moja moja, maana baadae utakuwa mama!
Hahaha yani wewe bana, unahisi wewe ndio wa kwanza kuniambia hayo maneno rafiki, i wish ifikie pahala tukubaliane na uhalisia kwamba binadamu tumetofautiana utashi
 
Awe na k nyeupe yenye tuvuzi tufupi kwa mbaliii
 
Nasoma comments
Men are simple. Give them s*x, respect and a home-cooked meal and they’ll move mountains for you. It’s not that they’re hard to please, it’s just that too many women refuse to try.
 
Duuh kwamba unapenda wanawake wajuaji, maana si huwa mnasema mnapenda wanawake wa aina hiyo wale wa kila kitu ndio, aise hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke kama mimi so nakushangaa wewe
Yeah napenda mjuaji , anakua life partner wangu na sio msukule wangu , tunaweza bishana , piga stories mbalimbali na hata kutaniana😅
 
Back
Top Bottom