Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,557
- 88,561
Ndio huo unafiki ninaousema sasaWatamu sana
Ndio huo unafiki ninaousema sasaWatamu sana
Mwanamke mtata kama wewe poa sana🤣Ndio huo unafiki ninaousema sasa
Kweli na kwambiaNdio huo unafiki ninaousema sasa
Mwanaume akipenda tomboy anaweza kupenda mwanaume mwenzakeHakuna mwanaume anayependa mwanamke tomboy otherwise ni unafiki tu
Kuna wadada ma Tomboy wazuri hatariMwanaume akipenda tomboy anaweza kupenda mwanaume mwenzake
Na nitakubeba popote uendapMwachi wangu🥰🥰🥰🥰🥰
Love U Sana na Kesho nitakuwa kama mtoto,utanilisha,utaniogesha,utanivisha🤗🤗🤗🤗
Wazuri lakini vibe lao sasaKuna wadada ma Tomboy wazuri hatari
Umeona eh yani unaanzaje kwanza kupenda tomboy hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke wa aina hiyo, hawa waongo huwa wanataka tu kuonekana kwamba wamefanikiwa kupita hadi na wanawake wagumu ila si kwamba wanawapenda maana tomboys wengi huwa wanaplay hard to get, kwahiyo wao wanataka tu kuonekana vidume kwa kufanikiwa kuwapata na ndio maana hata ikitokea wakawapenda kweli basi watafanya juu chini wabadilike wawe na haiba ya kikeMwanaume akipenda tomboy anaweza kupenda mwanaume mwenzake
Hao wanajua kupenda na wana mahaba pia ni watamu mno ila shida yao wana wivu mnoWazuri lakini vibe lao sasa
Wapo tomboy wazuri achana na wale ambao baada ya kuona sura za baba wanajifanyisha😅Umeona eh yani unaanzaje kwanza kupenda tomboy hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke wa aina hiyo, hawa waongo huwa wanataka tu kuonekana kwamba wamefanikiwa kupita hadi na wanawake wagumu ila si kwamba wanawapenda maana tomboys wengi huwa wanaplay hard to get, kwahiyo wao wanataka tu kuonekana vidume kwa kufanikiwa kuwapata na ndio maana hata ikitokea wakawapenda kweli basi watafanya juu chini wabadilike wawe na haiba ya kike
Sasa mbona kama unanisema Mimi tena 😂😂Wapo tomboy wazuri achana na wale ambao baada ya kuona sura za baba wanajifanyisha😅
😂😂😂 sema kweliUmeona eh yani unaanzaje kwanza kupenda tomboy hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke wa aina hiyo, hawa waongo huwa wanataka tu kuonekana kwamba wamefanikiwa kupita hadi na wanawake wagumu ila si kwamba wanawapenda maana tomboys wengi huwa wanaplay hard to get, kwahiyo wao wanataka tu kuonekana vidume kwa kufanikiwa kuwapata na ndio maana hata ikitokea wakawapenda kweli basi watafanya juu chini wabadilike wawe na haiba ya kike
Kwamba?😅😅😅😅Sasa mbona kama unanisema Mimi tena 😂😂
Bwashee tuko pamoja kwenye hilo, zile un necessary question zifie mbali.Asiye nifuatilia kila saa.
Kudadadeki 😂 😂Mwanaume akipenda tomboy anaweza kupenda mwanaume mwenzake