Kwa Wanaume Tu

Kwa Wanaume Tu

We bado tu umo au unajinsia mbili?

Nimo wapi?
Jinsia mbili ndo nini?

Mbona unadandia basi kwa mbele/
Kama kuna kitu hukijui si unauliza?

Utakuja kudandia na mipini!
 
moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote..... Jer 17:9 :disapointed: - Chujio
 
Last edited by a moderator:
Mpango mzima namba 2 bhana .hawa wengi magumashi tu.waswahili usema 'ukali wa nyuki ndiyo utam wa asali yake'

kwa uzoefu wangu demu mgumu kwako anaweza kuwa maharage ya Mbeya kwa wengine.... Hawa namba mbili wakati mwingine unaweza kudhani ni mgumu kumbe wewe amekuweka pending, yeye anamzimia jamaa mwingine. sasa ikishindikana huko kwingine ndiyo anakukubali wewe, na wewe kwa kutojua unajipa moyo kuwa huyu demu ni mgumu na ndiye ananifaa. Kumbe you were her plan B........

I prefer:

5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari
kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni,
kuchezewa au kuolewa.
 
We cjui ulizaliwa bila bikra!!!!!? Keshasema hii n kwa wanaume tu naww humo duuuh,hiz ndo product za div 5

aisee mkuu niombe radhi....... nimepita nione wanaume wanafanya nini huko kama mnatutukana kama wewe ulivyofanya aisee duh ungekuwa karibu yangu ningekupa adhabu ya kutembea kwa makalio
 
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?

1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?
3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?
4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.

Mimi binafsi napendelea sana No 2. Unajua mwanamke akinipa tabu sana siku ya kuja kumpata ntamthamini zaidi na ndio atakuwa mwepesi kwa mimi kutangaza ndoa kwake.
Wa aina hii ananipa matumaini ndani ya moyo kwamba anayejaribu kumchukua kwangu naye itabidi apitie tabu niliyopitia mimi.

6. Wanaotaka hela - Tunapoteza mda na nguvu kusaka hela ili zirahizishe maisha mengine...
 
kwa uzoefu wangu demu mgumu kwako anaweza kuwa maharage ya Mbeya kwa wengine.... Hawa namba mbili wakati mwingine unaweza kudhani ni mgumu kumbe wewe amekuweka pending, yeye anamzimia jamaa mwingine. sasa ikishindikana huko kwingine ndiyo anakukubali wewe, na wewe kwa kutojua unajipa moyo kuwa huyu demu ni mgumu na ndiye ananifaa. Kumbe you were her plan B........

I prefer:

5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari
kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni,
kuchezewa au kuolewa.

wewe ndo umeconclude mada yote.

mimi nikimpenda jamaa hata kumwambia sioni shida na nikitongozwa ni hapo hapo tu( mbeya beans)

kama sijakupenda na wala sinjakutamani, sitakwambia moja kwa moja kwamba sikutaki, bali nitakuweka tu just incase kule kwa yule nimpendae pakiharibika ndo nitakuja kujipooza kwako.(ninaweza kukuweka hata miaka kadhaa kama utakuwa kinganganizi)

na pia naweza kukubali after umenihangaikia kwa long time just out of pity tun na nikaendelea kugegedwa na nimpendae tena kwa kumtongoza mwenyewe.

wanaume inabidi muwe makini jamani, haya mapenzi yamebadilika sana.

mie ningekua mwanaume, ningechukua Mbeya beans halafu nikasonga nae kwa machale hadi nitakapojiridhisha, mara nyingi mwanamke akikubali fasta anakua amekupenda kiukweli( unless ni malaya by profession.)

ni mtazamo tu
 
Inategemea hali ya ukakasi kwa muda huo, Chezea ukakasi weyeee...The higher the ukakasi..option 5. Unatoa ukakasi kwingine huku unaendelea na kubembeleza unapo target..
 
Nimo wapi?
Jinsia mbili ndo nini?

Mbona unadandia basi kwa mbele/
Kama kuna kitu hukijui si unauliza?

Utakuja kudandia na mipini![/QUOTE]

Mmmhh!!!!!
Nakusanya wanajumuia,jiandae kwa huduma leo
 
wewe ndo umeconclude mada yote.

mimi nikimpenda jamaa hata kumwambia sioni shida na nikitongozwa ni hapo hapo tu( mbeya beans)

kama sijakupenda na wala sinjakutamani, sitakwambia moja kwa moja kwamba sikutaki, bali nitakuweka tu just incase kule kwa yule nimpendae pakiharibika ndo nitakuja kujipooza kwako.(ninaweza kukuweka hata miaka kadhaa kama utakuwa kinganganizi)

na pia naweza kukubali after umenihangaikia kwa long time just out of pity tun na nikaendelea kugegedwa na nimpendae tena kwa kumtongoza mwenyewe.

wanaume inabidi muwe makini jamani, haya mapenzi yamebadilika sana.

mie ningekua mwanaume, ningechukua Mbeya beans halafu nikasonga nae kwa machale hadi nitakapojiridhisha, mara nyingi mwanamke akikubali fasta anakua amekupenda kiukweli( unless ni malaya by profession.)

ni mtazamo tu

Kwa uzoefu kidogo nilionao, mwanamke akiniwekea mapozi au kujivuta kunikubalia huwa naachana naye for Good. Na asilimia kubwa wakishaona umekaa kimya huwa wanajileta wenyewe, "Oohh, mbona siku hizi umenichunia?"
 
sasa wewe ndo type ya mwanaume ninaopendaga mie! FULL MSIMAMO, NO KUSHOBOKA KISA MAPENZI

yani na sisi huwa tnapenda kuwindwa kidogo then tuanze kuwinda pia.

watu hawajui tu, eti mtu unatongoza mwaka? ebo! hupendwi kuna anayependwa
 
Back
Top Bottom