Kwa Wanaume Tu

Kwa Wanaume Tu

Wote hapo ina moja unaweza kumsotea mura mrefu ukaja mpata ukitia tiny kunako nanihui unajuta kupoteza muda wako,mwingine anakuzungusha pembeni anagawa,ukajampata maharage ya mbeya akakupelekesha mpka ukatangaza ndoa,mapenzi sanaa.
 
mie sitaki bughudha...namba 5. waweza tumia muda mwingi alafu demu mwenyewe sio bikra
 
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?

1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?
3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?
4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.

Mimi binafsi napendelea sana No 2. Unajua mwanamke akinipa tabu sana siku ya kuja kumpata ntamthamini zaidi na ndio atakuwa mwepesi kwa mimi kutangaza ndoa kwake.
Wa aina hii ananipa matumaini ndani ya moyo kwamba anayejaribu kumchukua kwangu naye itabidi apitie tabu niliyopitia mimi.

kwnye nyekundu umeshatagaza ndoa kwa wadada wangapi mpaka sasa?
 
Namba5 inanihusu sana maana sina muda wa kufatilia mambo hayo na piaaaavbado nipo nipo sana.
 
No 2 ndo mpango mzima
No 5 ni mwanamke wa ovyo sana nionavyo mimi, Anatufanya wanaume tuwe wazinzi kila kukicha. Hana maana hata chembe. Yaani mimi hata nimpende vipi mwanamke akiwa maharage hamu yote inaniisha. Alafu baadae anakuja eti kanichafua na kuniacha.

Mtoa mada ulifaa uitwe TAJIRI WA AKILI.
Yaani ukatongoze mwenyewe na balaa lako kisha usingizie bint ndio anakufanya uwe mzinzi!!!!
Maajabu haya
 
Hawa viumbe hawatabiriki aisee, waweza fukuzia mtu 3yrs siku anaingia kwenye 18. Unaweza mwacha hapo ukasepa zako, nguo zinaficha mengi.
 
Jipe moyo hiyo sio guarantee unajua ni kwanini alikuwa anakuzingua na unajua kwanini amekubali baada ya muda mrefu sababu ni nyingi kuliko ujuavyo mkuu
 
Back
Top Bottom