Kwa Wanaume Tu

Kwa Wanaume Tu

Watu jamani utawajua tu maneno mengi mwishoe wanashikwa na kigugumizi cha mdomo kusema
yaliyomoyoni mwao ni kuachana nao tu kwani hao ni wavua gwanda
 
Last edited by a moderator:
Nimo wapi?
Jinsia mbili ndo nini?

Mbona unadandia basi kwa mbele/
Kama kuna kitu hukijui si unauliza?

Utakuja kudandia na mipini!

acha matusi wewe! umeulizwa fresh tu mwana.hii mada topic inasema 'kwa wanaume tu' sasa kama ni dume unkaribishwa sana but if ur female bas wewe ni mfano wa wale wanawake wa kushobokea wanaume au ya mbeya.safi sana umekuwa poa kwenye mfano wa hii maada inayozungumzwa.
 
Kusoma ukaelewa umeshindwa hata kuangalia nako umeshindwa?
 
Back
Top Bottom