Kwa Wanaume Tu

Kwa Wanaume Tu

Mimi huyo maharage ya mbeya ndiye napenda. Pesa nitafute kwa kuhangaika, na demu pia? Kitu gani. I'm cheap and easy
 
 
Last edited by a moderator:
Chupi mkononi a.k.a maharage ya Mbeya(Namba 5) ndo mpango mzima ya nn kujitesa kutafuta hilo donda ndugu lao..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mi hayo yote hayanihusu...mi wanakujaga wenyewe...nimesahau kwa mara ya mwisho nilitongoza lini....kazi yangu siku hizi ni kuangalia tu yupi poa kuwa naye na yupi nimkatae....siku hizi mnaohangaika kutongoza poleni
 
Duhh mkuu yule namba 2 .ni poaaa mazehe.hata cku ya kumgegenda anakuwa mtam huyo .wee acha mazeee.nakumbuka kipenzi changu mama yoyoo alinisumbua miaka 7 toka tupo secondary .duuh cku nilimkamataa cku ile cto isahauu.nikakuta mileage 0 Km .nifurai kupita kiasi nkamtupia na kachein mpaka leo anakoo teeeeeh .The big Up number 2.but i hate maharage ya mbeya .maji tone agrrrrrts
 
Muda wa kumfuatilia mwanamke 3months uko wapi? Nimemhangaikia sn Ni two weeks basi.
 
Mpango mzima namba 2 bhana .hawa wengi magumashi tu.waswahili usema 'ukali wa nyuki ndiyo utam wa asali yake'
 
Muda wa kumfuatilia mwanamke 3months uko wapi? Nimemhangaikia sn Ni two weeks basi.

Siku 4 physical zinazobaki kwa calls, texts na.njia nyingine zinazompendeza mtongozwaji na zilizo ndani ya uwezo wa mtongozaji!!!!!!!

Hataki anaacha!!!
 
Back
Top Bottom