kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani
ukiona mtu anajisifu kwa kumfanya mwanamke ujue huyo mwaume amuitaji huyo mwanamke
Mwanamme au Mwanamke wa maana hutomsikia akisema hayo.
Ukiona mwanamme anaejamba mbele ya mwanamke ujuwe huyo hana siri.
miss chaga usitegemee majibu sahihi ya swali lako hapa kila mtu atajifanya yeye atangazagi kwa masela
nikuhakikishie ni vigumu kidume kumgonga demu alafu asiseme kabisa ni VIGUMU mno
Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Kuna jambo nimewaza!
Unajua, inategemea na title ya Mtu, mahala na wakati, title kwa Maana ya Mke, Girlfriend, Demu, Mchepuko, n.k,
Mke hatangazwi, maana hiyo ni Obvious, ukiwa na Mke lazima ule mzigo, wanaotangazwa sana ni "Mademu" zetu, kwa maana ya kuwa, kwa Mvulana kuongozana tuu na mdada mzuri haitoshi, washkaji lazima watakuuliza, vipi? Chupi Umemvua? Jibu likiwa hapana, You Loose, Credit, Jibu likiwa ndio, You Gain your Praise and Respect kwa Wanaume wenzako. Soo inawezekana, nikajibu kwa Rafiki yangu kuwa Yule ni demu wangu, na nakula Tunda daily. Hii kwa upande mmoja ni kujisifia, na kwa Upande mwingine ni For security Purposes.
Mtu hutangaza kutembea na binti ili kupunguza ushindani, lakin pia, inawezekana nilimwambia mtu mmoja, yy akaenda kusema kwa wengine, nikaonekana nimetangaza.
And Again, Unaweza kusema umetembea na mwanamke, ilihali si kweli, ili upate hadithi zake, very unfortunate, Tabia za wanawake wengi huwa siri mpaka siku ukilala nae, sasa ku avoid late majuto baadae, mwingine huamua kusema, ili kama kuna aliemla na ni Mgonjwa wa ule Ugonjwa wetu, au kama pia kuna mwingine au wengine, basi nao utawajua, maana nao watasema, hata mm nishapita pale, hapo utacompare na ule uwongo uloambiwa kuw a mtaani ndio ww tuu umekubaliwa.
Ha ha ha ha haaaa. Mapenzi sijui ni kitu gani.
Wapo wengine hutoa hd siri wanavyowafny wake zao huo ni uzumbukuku mtu uliezaa nae watt huwez kumuanika unajidhalilisha ww mwanamme me mwanaume w hvy namtafasiri tofaut nikimhusisha na vitendo vy kishoga.kuna jamaa yetu huwa anawapa hd washkaj chabo akiwa anagegeda wht the ***.Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.