Aiseeeemm nime-upgrade, mpaka nimle tigo mdada ndo huwa najisifia miss chagga
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.
Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.
Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.
Naona hao wanawake ukiwaona waume zao unawaonea huruma hadi baasi
siku hizi unaweza kukuta mke kahaba na mume hajui....na kwa macho huoni kama wana shida ya pesa
dunia imebadilika
Hayakuanza leo hayo, yapo enzi na enzi na sababu si pesa tu.
Nnakushauri soma kitabu cha The perfumed garden cha Sheikh Nefzawi kilichotafsiriwa na Richard Burton. Utajifunza mengi sana kuhusu mambo yanayopelekea uzinifu.
Pia ukisoma One Thousand and One nights kitakufunza mengi kuhusu hila na vitimbi vya wanawake ambapo utaelewa kuwa havijaanza leo wala jana.
Kuna kisa pia cha Nabii Yusuf kimo ndani ya Qur'an.
Uvisomapo hivyo utaelewa kuwa haya si mapya.
Mbora kati yetu ni yule anaejiepusha nayo.
Alimtoaje kiny...?yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....
ha ha ha so your proud of using it?
Siku hizi topic za maana zimepotea JF!!!Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Ndiyo mkuumiss chagga hiki kiswahili umeandika wewe au?
Ya jamani wamefufua sijui wapi hukoSiku hizi topic za maana zimepotea JF!!!