Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Tarajia lolote hasa litakalogharimu heshima yako unapoamua kuwa na uhusiano nje ya utaratibu wa kawaida yaani mume
 
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.

Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.

Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.
 
dada Faiza kumbe na huku umo. Shkamoo.
 
mimi nafikri ni wivu tu ndio unaowasumbua, wanaona wakiwatangaza kwa marafiki zao hawatawatongoza. huo ni wivu, ushamba na utoto ndio unawasumbua. mwanaume unatakiwa ujihamini.
 
Ni ujinga kabisa, hakuna unachopata hata ukifanya wanawke mia, sana sana ni ulimbukeni tu. Nawachukia sana wenye hii tabia. Wanadhani ni sifa
 
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani

mara nyingi ni upuuzi. Kuna uwezekana katika hao unaosimulia yupo ambaye pia kala au bado anakula bila kelele. mwisho huwa ni kujidhalilisha kwa sababu simulizi zako huenda zisi-match ukweli ambao wenzako tayari wanaujua kuhusu mhusika
 
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.

Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.

Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.

Waooooooooo, perfect contribution. FaizaFoxy, baada ya salaam nahisi ume-GATE CRUSH. miss chagga kasema wanaume tuuu. Ila your presence ina add value.
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi ni upuuzi. Kuna uwezekana katika hao unaosimulia yupo ambaye pia kala au bado anakula bila kelele. mwisho huwa ni kujidhalilisha kwa sababu simulizi zako huenda zisi-match ukweli ambao wenzako tayari wanaujua kuhusu mhusika

Sawa kabisa
 
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.

Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.

Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.
Mbona hao wengi sana nadhani hata miss chagga Miss Chagga anawajua. Wengi wanajisifia kuwa nimempata jamaa fulani anazama chumvini, wengine nishatembea na na Padre fulani, nimefikisha wanaume 45 etc, lakini siku hizi wanaume tunaonewa sana kwa huu mfumo jike== Kutesa kwa zamu. Kuzuia hili lisitokee punguza foleni......
 
Mbona hao wengi sana nadhani hata View Profile: miss chagga Miss Chagga anawajua. Wengi wanajisifia kuwa nimempata jamaa fulani anazama chumvini, wengine nishatembea na na Padre fulani, nimefikisha wanaume 45 etc, lakini siku hizi wanaume tunaonewa sana kwa huu mfumo jike== Kutesa kwa zamu. Kuzuia hili lisitokee punguza foleni......

ni sawa lakini pia mkuu muache tabia ya kuwasema vibaya na kutunyima raha... mkikosea lazima tuseme
 
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.

Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.

Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.

sawa boss ila naona wanaume wamezidi wewe hujui tu FaizaFoxy
 
Ni ufahari kama mwanamke anajiona mitaani lkn kama mwanamke ana skendo ya hiv hutaskia hata kidogo wanaojiproud kutembea naye.
 
Back
Top Bottom