Kuna jambo nimewaza!
Unajua, inategemea na title ya Mtu, mahala na wakati, title kwa Maana ya Mke, Girlfriend, Demu, Mchepuko, n.k,
Mke hatangazwi, maana hiyo ni Obvious, ukiwa na Mke lazima ule mzigo, wanaotangazwa sana ni "Mademu" zetu, kwa maana ya kuwa, kwa Mvulana kuongozana tuu na mdada mzuri haitoshi, washkaji lazima watakuuliza, vipi? Chupi Umemvua? Jibu likiwa hapana, You Loose, Credit, Jibu likiwa ndio, You Gain your Praise and Respect kwa Wanaume wenzako. Soo inawezekana, nikajibu kwa Rafiki yangu kuwa Yule ni demu wangu, na nakula Tunda daily. Hii kwa upande mmoja ni kujisifia, na kwa Upande mwingine ni For security Purposes.
Mtu hutangaza kutembea na binti ili kupunguza ushindani, lakin pia, inawezekana nilimwambia mtu mmoja, yy akaenda kusema kwa wengine, nikaonekana nimetangaza.
And Again, Unaweza kusema umetembea na mwanamke, ilihali si kweli, ili upate hadithi zake, very unfortunate, Tabia za wanawake wengi huwa siri mpaka siku ukilala nae, sasa ku avoid late majuto baadae, mwingine huamua kusema, ili kama kuna aliemla na ni Mgonjwa wa ule Ugonjwa wetu, au kama pia kuna mwingine au wengine, basi nao utawajua, maana nao watasema, hata mm nishapita pale, hapo utacompare na ule uwongo uloambiwa kuw a mtaani ndio ww tuu umekubaliwa.
Ha ha ha ha haaaa. Mapenzi sijui ni kitu gani.