Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....

ha ha ha so your proud of using it?
...hapooo kwenye KINYESI ndo napapenda hapooo😛
 
Hayo yatafika mwisho pale wanawake watakuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya wavulana na wanamume......

Kinachowatofautisha viumbe hao wawili wa jinsia moja ni uwezo wa vichwa vyao na sio miili yao.....
 
tatizo uwa mnawapa na watu wa ajabu ndio maana mnajisikia embarassed akikutangaza...
 
Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
kwani na wewe hukumsifia kwa shughuli aliyokufanyia?
 
hata kama kitandani hujui kitu ninyamaze tu? Dah pole sana miss chagga wakati mwingine uwe makini katika kuchagua maana wengine hawana maana
 
ni Ego tu..
Ukikuta wale wenye matatizo ya kujitambua wakati wanakua..wakikua ndo wana exercise their superiority ya ku mark jina lao..
 
Mm sijawahi simulia. Mtu na watu hudhani may be katika maisha yangu sijawahi kugongana na demu
 
Back
Top Bottom