Nao pia ni wa Dar.....hahaha.Hawa watakua wa Dar......na wengi wao ni vivulana (havijakua kiakili)
"A Guy is a Boy by Birth, A Man by Age, BUT a Gentleman by Choice"
I second you Mshawa, nafikiri ni tabia ya mpito wa ujanani.....papuchi ilivyokua tamu ukianza kuijua lazima usimulie tu..hamna jinsi. mwanaume akisema hajawi nafikiri atakua na tatizo.Ni moja ya tabia za wavulana na wakati mwingine yaweza komaa hasa akija kujua papuchi ukubwani. Hakuna mwanaume ambaye hajawai pitia hii tabia ila umri unavyosogea huanza kuacha.
Well, ni uwelewa mdogo tu wa maswala ya kimapenzi.....! Ila sote tuelewe mambo haya ya kisaikoloji chini;Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
MY DIA CHAGGA kazi unayo mh!Mambo rafiki

Uboya tuMambo rafiki

kwa mtazamo wangu mwanaume huona sifa kuwa amedoo na mwanamke fulani,vilevile huona fahari idadi yao inapokuwa kubwa na ndio maana baadhi ya wanaume huweka watu waliowahi kuwa na mahusiano nao hadharani bila shida,tofauti kabisa na mwanamke, hata siku moja hawezi taja orodha ya wanaume aliotembea nao na ikilazimu atajitahidi sana kuipunguza au kudanganya,Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
sawa mkuuk
kwa mtazamo wangu mwanaume huona sifa kuwa amedoo na mwanamke fulani,vilevile huona fahari idadi yao inapokuwa kubwa na ndio maana baadhi ya wanaume huweka watu waliowahi kuwa na mahusiano nao hadharani bila shida,tofauti kabisa na mwanamke, hata siku moja hawezi taja orodha ya wanaume aliotembea nao na ikilazimu atajitahidi sana kuipunguza au kudanganya,
ni mtazamo binafsi
asante mkuuMiss Chaga nikusaidie dada yangu, watu wa hivi ni rahisi kuwajua. Ni wale wanakuhadithia hata vitu tofauti na unavyotegemea kutokana na mwonekano wake…
ukomeNilikua na ako kamchezo nimekoma aise...
Yalinitokea one day najisifia kua pale nimepiga nilichoambiwa sikutegemea kwa evidence kabisaa kumbe demu kashamalza Kitaa afu more ova kama watu wasema sijui Ana ngoma mbona anagawa sna nilichokaaa naO nipo kimya Sanaa afu nimegundua ni bora ujisifie bf ujamla kuliko usha mla lalaaa utajutaa
Hapanshaka unawazungumzia wavulana.....Wanaume hatuko humo.Mambo rafiki