Hivi kile kitabu cha 'alfu lela ulela'
ndo hiko hiko 'one thusand and one night?
Naam, lakini kile cha Kiswahili kimepunguzwa sana. Ukisoma cha Kingereza lakini uipate tafsiri ya Richard Burton kina mengi zaidi. La kama unaelewa Kiarabu ukipate chenyewe Alf Leila u Lela kwa Kiarabu ndiyo utapata haswa undani wa zile hadithi.
Hii Thread Wanawake wanatakiwa Kusoma tu.... Sikuhizi sikusikii ukimsifia Kikwete na Kumponda NyerereNaam, lakini kile cha Kiswahili kimepunguzwa sana. Ukisoma cha Kingereza lakini uipate tafsiri ya Richard Burton kina mengi zaidi. La kama unaelewa Kiarabu ukipate chenyewe Alf Leila u Lela kwa Kiarabu ndiyo utapata haswa undani wa zile hadithi.
Hii Thread Wanawake wanatakiwa Kusoma tu.... Sikuhizi sikusikii ukimsifia Kikwete na Kumponda Nyerere
cha kiarabu kinaitwaje muandishi nani?
Acha uongo wako, hicho sio kiarabu. Hivi shule ulienda kusomea ujinga?Kitab Alf Leila u Lela.
Mwandishi sikumbuki.
Acha uongo wako, hicho sio kiarabu. Hivi shule ulienda kusomea ujinga?
Kuna watu wa aina hiziMambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Kichaga = kichagga.Kichaga hicho.
My CHAGGA.. nani huyo kakukosesha amani jamaaniii!!!!????kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani
enheee.. habu nambiee.. ukubwa wako upoje atiI think madogo ndo mulivyo. Sisi wakubwa labda tujadiliane tupeane maksi. Aisee ulininanilii?!
unaonekana we ndo zako ukikojolea mtoto tu jioni kijiweni matangazo. ngoja dushe lianze kukuwasha halafu na mijipu ianze polepolee.. sijui na lenyewe utatangaza!!miss chaga usitegemee majibu sahihi ya swali lako hapa kila mtu atajifanya yeye atangazagi kwa masela
nikuhakikishie ni vigumu kidume kumgonga demu alafu asiseme kabisa ni VIGUMU mno