Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

ni sawa lakini pia mkuu muache tabia ya kuwasema vibaya na kutunyima raha... mkikosea lazima tuseme
Kama hamtaki tuwaseme punguza foleni na sisi tunaumia baada ya kutuacha kwenye mataa mnatutangazia ati tuna vibamia na hatujui kuzama kama wapya mnaowapata
 
Huo ni ushamba tu kwa wanaume wengi wa kiafrica....

Hawajui na hawadhamini heshima kubwa wanayopewa na hawa dada zetu, But time will tell kama hawatabadilika....
 
Kama hamtaki tuwaseme punguza foleni na sisi tunaumia baada ya kutuacha kwenye mataa mnatutangazia ati tuna vibamia na hatujui kuzama kama wapya mnaowapata

a ha ha jitahidi ukipata ufanye sawa sawa ukituacha tuseme unajua mambo... ila kuama unakibamia tusiseme?
 
Naona hujamwelewa vizuri kwa kusema

Yeye kakuchunuku na unapoteza bahati? Kaandika hivi:


Yaani hakuandika kuwa Hutagusa bali utagusa. Hongera zako

mzee wa samaki nchanga naona unataka kunipoteza kabisa ufuta umeisha tutaonana mwakani aisee nitakupiga bonge la fine
 
Unafaa sana katika jamii. Nakupa tano popote ulipo
Siwezi najua issue ya love making is private na tulifanya kwenye private place bila mtu mwingine kuhusika
Ya nini ukamtangaze kijiweni kuwa nimetembea na yule na yule au yule dada usimuone hivi anaringa hana lolote yuko hivi na hivi inasaidia nini sasa
Sana sana unajidhalilisha na kumdhalilisha mhusika
 
Ni upimbi na ufala sana.... Yaani wakati wengine huwa tunapiga kimyaaaa , kuna wengine wanahangaika mpaka kutunga uongo huku vijiweni.
 
Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa

Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.

Hiyo ni hulka ya wanaume wengi ila haiwahusu wanawake na yule atakaenda kuwahadisia wanawake ndo ----. mwanaume anapoadisia wenzake anaweza kuwa na maana mbili

1. wengine wasimfuatilie huyo mdada coz labda anataka kumuoa

2. wafaham kua hajatulia huyo mdada coz unaweza ukute katoka na vijana zaidi ya mmoja.


NB: Wanaume wengi humchagua mchumba kwa creteria kwamba hajatembea na waskaji au kijana zaidi ya mmoja.


unapokataa we mwanadada waskuseme haikuhusu ila kama unataka iwe hivyo bac una maana utembee na wengi kimyakimya.

WADADA BADILINI TABIA.....
 
Mie nnawajua pia wanawake wengi wanaosifia mihogo na kuhadithia aina mbali mbali waliyokutana nayo na wengine wanaweka mpaka hesabu kamili na kujisifia. Wengine wanajisifia leo wamekula mihogo mingapi, kuna watu nimewasikia wakijisifu mpaka 10 kwa siku.

Hayo ndio yamenifanya nisipende kwenda saloon. Tena ukiwaona ni wanawake ambao huwadhanii.

Kwa hiyo hilo la wanaume kusifia K si exclusive kwao tu.


100% 100% well said
 
kama yako nyeusi kama sura yako

unajua bora mtu ukose hela au akili ila ukikosa papuchi ya miss chagga kajimalize ni mtamu vibaya!!!
nilikuwa na ghorofa nimeuza kwa kukuhonga asaivi nimepanga tandare kwa mtogole!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom