Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

Mwanamke asiyejua kupika,
Anayeuliza kila wakati,"tunakula nini leo,
Mwanamke ambaye haonyeshi kujari Kama umefika,yupo bize na smart phone,
Mwanamke ambaye ni mvivu kwenda nyumba za ibada(wanaume wengi ni wavivu,tunataka mwanamke,atakaye kuwa anajari kupereka watoto,msikitini/kanisani.)
Mwanamke asiyejishughurisha na chochote Cha kuingiza kipato,sio lazima aponde kokoto,au auze mahindi,(wenye degree,huwa na viburi sana).
Awe na uelewa,mambo yakienda kombo,asifikiri vyeti vyake vitaleta ugari mezani,aingie flont,ajichanganye kwenye deiwaka Ili kusaidia kuleta kipato,
Mwanamke asiyependa kuona ndugu wakija nyumbani.
Mwanamke anayefanya mambo,maamuzi bila kunipa taarifa,ni mke anayeishi Kama vile yupo na kaka yake.
Mwanamke inabidi awe Kama dila,inayongoza na kuweka maadili ya familia vzr,wakati vidume tunaangaika kutafuta vimilioni vya ada,kujenga nyumba ya pili,kununua ka Usafiri ka familia.
Mwanamke msiri kwenye matumizi ya pesa,hafai pia.

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Asante Sana,bumeiweka vizuri mno.
 
Hakuna mwanamke bila mwanamume
Tabia zote mbaya za mwanamke zimesababishwa na mwanamume
Mwanamume ninayemzungumzia hapa ni yule wa zamani sio hawa wavaa milegezo
Enzi hizo ndio kulikuwa na wanaume na ndio waliosababisha tabia mbaya kwa wanawake.
Unachokiona sasa kwa mwanaume na mwanamke ni matokeo ya wale wa zamani.... tatizo halikuanza leo. Sidhani kama nitaeleweka hapa!
nitarudi

Wanawake lazima wa like hii comment

Unajua kwanini???mwanamke haoni makosa yake kamwe yeye yupo busy kutafuta nani wa kumtupia lawama...

Hapa ndo tunakuja kwenye shida namba moja ya mwanamke

1.Hakosei

Siku mwanamke akikubali nafsini mwake kuwa amekosea basi madhaifu yake mengine ya kitabia yatapungua kwa 80%.yaani siku akiweza tu kusema mume wangu hapa nimekosea ile ya kutoka moyoni sio ya kinafiki yaani kukiri tu nimekosea basiiiiiiiiiiii amefuzu kuishi na mwanaume

2.Dharau/kibri
3.kauli
Kauli inavunja ndoa kabla haijavunjika yaani mwanaume anakuwa tyr kesha achana na wewe ila wote mpo ndani ya ndoa.
4.Kudhani unaweza kumkomoa mwanaume kwa kumyima tena kipindi hicho chuchu sio sa sita,ule muonekano wa kirembo umepungua eti ndo kipindi mwanamke anaamini kbs namkomoa mwanaume kwa kumnyima sex.Hii ni very huge mistake kipindi ambacho sex inahitaji ubunifu wa hali ya juu eti kuna mtu anadhani kukomoa ni kunyima sex kisa kakukera somewhere ohooooooooo.Akinasa sehemu utasema kalogwa.Sex ni mhm sana kwa mwanaume,mwanamke aki invest kwenye kumpa good sex mwanaume basi jamii itasema mwanamke kamloga mwanaume kumbe walaaaaaaaaaa.
 
Umenena vema.
 
Mawigi, makeup, lip stick, kubandika kucha

Kupika kwa kwa remote
 
1. Kiburi.

Mwanamke mwenye kiburi anafanya yafuatayo HAOMBI MSAMAHA HATA KAMA AMEKOSEA.........UNAPOMPA MAELEKEZO HATEKELEZI.........HAMHESHIMU MUME WAKE, HESHIMA ANAWAPA ZAIDI WENGINE KULIKO MUME.

2. Kubania tendo la ndoa

3. Kujifanya mjuaji. .........kilakitu anajua yeye.
 
Well, Mengi yameelezwa na wanaume wenzangu Mimi niongezee tu sipendi Tabia ya “gaslighting”. Nimekosa neno la kiswahili hapa lenye maana ya moja kwa moja lakini ni ile tabia anakufanya u doubt kumbukumbu zako yaani anakataa kwamba hukumpa maagizo fulani, yaani anaruka mita mia kwamba hukusema hicho unachosema. Au kujifanyisha kwamba vitu flani havielewi ili tu usimpe jukumu flani ambalo of coz ni la kawaida na pengine ni jukumu la Kila mwanamke.
 
Binafsi nakerwa na haya
  1. Kutokwenda na muda (mnapanga muondoke/mkutane saa 2) mpaka muda unafika hajajiandaa. Natamani kupasuka, I am always punctual.
  2. Sipendi mawigi, rasta sio mbaya.
 
1. Kiburi.

Mwanamke mwenye kiburi anafanya yafuatayo HAOMBI MSAMAHA HATA KAMA AMEKOSEA.........UNAPOMPA MAELEKEZO HATEKELEZI.........HAMHESHIMU MUME WAKE, HESHIMA ANAWAPA ZAIDI WENGINE KULIKO MUME.

2. Kubania tendo la ndoa

3. Kujifanya mjuaji. .........kilakitu anajua yeye.
Hii kweli kabisa
 
Nikiwa kama baba wa nyumba, moja kabisa ni mke kukaribisha majirani kuja kuangalia TV ndani kwangu.

Ya pili ni kujichubua au kuweka vitu bandia kwenye mwili mfano, wigi, kucha bandia, hereni kwenye K na mamekap yaliyozidi.

Ya tatu ni kushabikia mpira! Mwanamke kama unashabikia mpira pita mbali nami
Kha!kha!kha!,hadi mpira No.
 
Akikasirika anapika vibaya au hapiki....

Sasa chakula kina makosa gani?

Kununa

Ubabe

Ubishi usio na msingi....

Umbea maneno ya mtaani kuyaleta ndani kitu kidogo kesi....

Kila ukimuambia kitu mara kwa sababu mi sina kitu au kwetu masikini.... Hataki kuambiwa akikosea.....

N.k.
 
Ebu anza kuchunguza kwa nini analalamika, ananuna? kama ni kitu unakifanya kila siku na hakimpendezi, anza kujifunza kutokifanya uone kama atalalamika.

mapenzi ni kuambizana ukweli, hata kama unauma kiasi gani.

Amini usiamini kuna wengine ni viazi cherema bosslady.

Malalamiko yasiyo na sababu ni kawaida kwao.

Wanawake wengine huwezi kuwaelewa asilani.

Ndio sababu wanawake wengi wanaojifanya wajuaji sana wako single au single mothers.

Unamouna msichana mrembo kupindukia anakatiza mitaa tu miaka inakwenda, hakuna wa kupropose kwa sababu ya tabia zake. Na wanaume wengi huwa wanaambizana fulani yuko hivi au vile....anabakia kuwa mlupo wa kila mwenye vijisenti...mwisho wa siku anapata maradhi au anazalishwa tu akiwa kwao au hata kama ana kazi hata kama ni mbunge, anabakia kuwa anaishi alone.

Tatizo lingine ni kwetu wanaume.

Kama kuna kitu hupendi kwa mwenzako ni bora ukamwambia mwanzoni kabisa wa unyumba wenu ili akikosea unamwambia on the spot.

Ukisubiria mpaka awe sugu unakosea kwa kuwa atashangaa unamwambia aache kitu ambacho ameshakizoea.

Ni sawa na mvuta sigara, usipomwambia aache hata kuishika kabla hajaanza kuivuta utamuokoa ila ukiacha aanze kuvuta ndio umkataze hatakuelewa kwa kuwa nicotine itakuwa imesha-take place.

Walinena wahenga samaki mkunje akingali mbichi, akishakauka hakunjiki...atavunjika!
Na wahenga wakikoloni wakasema stitch on time saves nine....wengine wakaongeza prevention is better than cure.

So pamoja na madhaifu wanayoweza kuwa nayo wake zetu bado sisi wanaume tunaweza kuwa chanzo kwa kuchelewa kulikemea tatizo tangu awali tusipokuwa waangalifu.

Nimemaliza!!
 
Mwanamke unaita ndugu zako mnajazana mnaongea viluga vyenu yaani baada ya kuoa mke unakuwa umeo familia nzima,pia tabia ya we mwanamke kushikiwa maisha na dada zako au na mama ako yaani unaishi kwa ushauri wao hata vitu unavyoambiwa na mumeo unaona upuuzi mpaka wao wasema kipo sawa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom