Mkuu tujikite kwenye malengo na mwongozo wa mtoa mada.Hakuna mwanamke bila mwanamume
Tabia zote mbaya za mwanamke zimesababishwa na mwanamume
Mwanamume ninayemzungumzia hapa ni yule wa zamani sio hawa wavaa milegezo
Enzi hizo ndio kulikuwa na wanaume na ndio waliosababisha tabia mbaya kwa wanawake.
Unachokiona sasa kwa mwanaume na mwanamke ni matokeo ya wale wa zamani.... tatizo halikuanza leo. Sidhani kama nitaeleweka hapa!
nitarudi
Hilo la kujinenepea hovyo hovyo kwangu mie ndio kero namba moja.1. Kujiachia baada ya kuolewa/kukaa, wengi wanakoma kujipamba na kujiremba, wanakoma kuvutia.
2. Kujiachia/kunenepa kuliko kawaida.
3. Dharau/kibri tofauti na wakati wa uchumba, n.k.
4. Nitaendelea kuleta hoja kwa kadri ya nafasi na uhai wa uzi.
Dah bora wee unasema ukweli...wengine oh marriage is not about sex...ila sijawahi ona mwanamke anayekubali kuolewa na mwanaume ambaya jogoo hawikiHivi mtu anakataaje kutoa papuchi??mm naweza sema kuo Leo sitoi lakini nashindwa ku mzuia kwa vile anavyoniandaa na kunifanyia
,yaani nakuta tuu nshajiachia.Muwe mnawashawishi wake zenu kwa kila namna,hakuna mwanamke hataki mambo mazurii.
Wakuu mmemwaga mapointi sana.
Yote niliyotaka kuyaandika yameandikwa.
Ila sijakosa cha kusema japo kidogo ila kikizingatiwa na wanawake kitawasaidia kwenye maisha ya kuwa wenza.
Mwanaume hapendi maneno mengi. Hapendi kusemwa na mkewe/mwenza. Hapendi mambo ya nyumbani kwake yawe hadharani kwa kuwa yanaweza kuwa na madhara makubwa kifamilia...kama kuvunjiwa na kuibiwa au kama mke katoa siri za mambo ya kitandani basi huyo msimuliwaji atataka kumuonja huyo mwanaume bila kujali kuwa ni mume wa shoga yako.
Pia mwanaume anataka kupewa heshima. Ametoka kàzini sehemu yake ya kimbilio baada ya stress za ofisini, shambani au biasharani ni pale makao makuu...nyumbani kwake. Apewe pole dekezo kiasi, achana na watoto au wageni mfuate mumeo umpe ukaribisho hata kama ulikuwa unasukwa, achan kwanza, MPE first priority usianze mastori mengi ya umbra NO.
Miwekee maji, ukiweza muogeshe, kama kuna chai MPE na kama ni chakula mkaribishe na India vyombo wewe sio house girl na baada ya hapo omba ruhusa ya kwenda kumalizia kusukwa au kama kuna unachotaka kufanya.
Kuna mengi tu unayoweza kumfanyia mwenza wako ila kiukweli kinaongeza
kinahuisha mahusiano yenu na uhai wa mahusiano yenyewe kiujumla utadumu.
Ni rai yangu kwa wale wanawake wanaodhani kufanya hivyo ni kama utumwa wajiangalie, inawezekana mwanaume anatoka kazini saa 12 jioni ila kuingia ndani kwake ni SAA nane usiku na hata hujiulizi what went wrong.
Kujisahihisha ni sasa na sio lazima kungwi ahusike.
Nitarudi.
1. Gubu
Mwanamke hutakiwi kuwa na gubu mpaka mwanaume akirudi kazini hajiskii hata raha kukaa nyumbani. Hata kama una shida mwache apumzike kwanza, then tafuta muda baadae ili umwambie kwa utulivu.
2. Wivu wa kupitiliza
Hii tabia wanaume wengi hatupendi, mwanamke unakuwa na wivu mpaka na simu za kikazi anazopigiwa mumeo! Tena wengine hata wakiona namba ngeni ndio kabisa.
3. Kujenga tabia ya mazoea
Mwanzoni mwa ndoa, mnajifanya watiifu sana, baada ya muda kupita huwa mnajenga tabia ya mazoea kiasi kwamba yale mnayokuwa mnawafanyia waume zenu mwanzoni mwa ndoa mnayaacha kisa tu mmewazoea. Hii tabia wanaume wengi wanaichukia na ndio chanzo cha w3anaume wengi kuwa na michepuko kwani michepuko hawajengi tabia za mazoea, kila siku wanakuona mpya. Kama mwanzoni ulikuwa na tabia ya kumpokea mumeo akirudi kazini usiache hata kama siku asipokuja na kitu.
4. Ufedhuli/ujeuri
Mwanamke hutakiwi kuwa fedhuli/jeuri kwa mumeo. Kauli ndogo tu kwa mumeo inaweza kusababisha naye akakudharau.
5. Kuwa na sauti ya juu kuliko mumeo
Mwanamke hutakiwi kuwa na sauti ya juu kuliko mumeo, hata kama mumeo hana ubavu/tena wanawake wengine wao huwa ndio wanajifanya waongeaji sana kuliko waume zao hasa pale wanapotembelewa na mgeni.
tumemaliza, kesho naenda kutoa sadaka ya shukurani, maombi yangu ya miaka 10 iliyopita yamejibiwa, kwikwikwikwikwi
Pablo nisaidie sample ya vazi la yuda na waebrania....nimechekea kama fala jike haki ya nani
- Uongo
- Kukosa maono
- dharau
- kupika ovyo/ yani jikon ziro
- Mazoea ya kifara
- Mwanamke hujui kuvaa ...unavaa Kama Yuda ,unavaa Kama waebrania
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwa wanaosukaga 2 kichwa mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
- Uongo
- Kukosa maono
- dharau
- kupika ovyo/ yani jikon ziro
- Mazoea ya kifara
- Mwanamke hujui kuvaa ...unavaa Kama Yuda ,unavaa Kama waebrania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya sita nzuri sana, inabidi alfajiri uwe unampa dozi ya kutosha ili ukifika muda wa kwenda kazini atulie.1---- kunuka mdomo.....yaani namwambia naomba kapige mswaki....akibisha ntamletea
2--- kila kitu anajua yeye......hata mbele ya wageni yeye ndie mjuaji wa kila kitu.....ila simkopeshi , namuweka hazina then namwambia sipendi
3----kunijazia chakula kama nahama....yaani sahani inajazwa utafikiria kinaisha jikoni....
4----kukaribisha wageni wakati sipo......hata hanielewi.....
5----kuvizia simu yangu .....hiii amekuwa sugu...na hajawahi ona kitu ik mbaya
6----anapenda dyudyu asubuhi wakati tumeshavaa for job.....anakwambia please kuna kitu umesahau.....nishajizoelea....nampenda tuu
Mkate live, mweambie hiyo dyudyu ndio mpango mzima, asikunyime. jenga mazoea ya kutomuudhi, jifunze pia kutofanya vile vitu ambavyo hapendi. maisha ni kusikilizana na kuambizana ukweli.Kunyima papuchi kama fimbo ya kuniadhibu nikimuudhi .
Ebu anza kuchunguza kwa nini analalamika, ananuna? kama ni kitu unakifanya kila siku na hakimpendezi, anza kujifunza kutokifanya uone kama atalalamika.Daaahh mi huyu mwanamke amekua mlalamishi Sana aisee afu kitu kidogo tu amenunaa....aaarrrgghhhh[emoji26]
No. 4,5,6 zimeshika kasi. nimekupata.Dharau
Kusikiliza maneno ya watu wanaonisema kuhusu mimi
Uchafu
Lack of creativity kwenye maisha
Kutegemea mwanaume kupita kiasi
Upishi Mbovu😬😬
Nilijua kuna watu hawatanielewal. wewe ni mmoja wao!Mkuu tujikite kwenye malengo na mwongozo wa mtoa mada.
Mwanamke asiyejua kupika,Heshima kwenu wanaume
Najaribu kutafuta busara za kiume, ni tabia gani ambayo ni kero na imekuwa sugu kutoka kwa wake zenu/marafiki wa kike, hata michepuko kama ipo?
Tukizingatia kwamba, hakuna mwanadamu mkamilifu, ila kuna tabia ambazo ni kero zonazopelekea kuachana.
Kama mwanaume, naomba uniwekee tabia 3-5 unazochukia kwenye ndoa yako na mahusiano, na kama ungepewa rungu na Mungu kutengeneza mke mpya, ungemuwekea zipi upate kitu OG.
Comment zako kwenye hii thread, zitanitengeneza mimi (kama mwanamke) na pia nitashare na wanawake wenzangu.
Angalizo: usibeze thread yangu, usinitukane, usikashifu.
Hii ni thread kwa wanaume tu.
Wasalaam.
~~~~
UPDATE:
Salut kwenu vichwa vya familia (Wanaume),
Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika kilindi cha moyo wangu. Nimefurahi sana, uzi huu umeitikiwa kwa kishindo. Mungu awabariki sana.
Asante kwenu wote mlio na msiochangia mada hii, maoni ya wachache yamewakilishwa vyema.
Maoni yamepokelewa, nayachambua ili niyawakilishe kwa wanawake wenzangu, kama nilivyoahidi hapo awali. Nashukuru, maoni yenu yamenibadilisha kwa namna moja, kuna makosa nimekuwa nikifanya bila kujua kama namkera mwenza wangu/boyfriend/mchepuko nk.
Nina ka jambo kangu na vichwa vya familia/wanaume, nitakuja hapa muda si mrefu kukawakilisha.
Kaeni mkao wa kula. Msichoke/msikate tamaa kutukosoa pale inapobidi.
Asante sana.
Wasalaam
Carol.