Kwa wanaume tu: Kukumbushana

Kwa wanaume tu: Kukumbushana

.

Najua for a man ni fahari kumiliki wanawake wengi, hii ni kawaida kwa male gender yoyote iwe ya kuku, mbuzi au simba ila ukiwa nao wengi wasizidi 3.

.
Nashangaaga binadamu wanapohalalisha mambo kisa wanyama wengine wanafanya. Akili zao kama hao hao kuku na mbuzi
 
Yaani umefikiri jambo zito nimekuelewa na nitalifanyia kazi
 
Hahaaaa, mtoa maada kanifurahisha sn,, eti mke sio mama yko...
 
kuwa na wanawake wengi sio tija, je? una hela? kama huna hela unaweza kujikuta hata mbwa wako hapo nyumbani anakuuma, wewe km una noti za kutosha huwezi kulialia.
 
Jaribu uone kama hujaishia kuumia wewe
 
Hahaaaa, mtoa maada kanifurahisha sn,, eti mke sio mama yko...
Ndio,mke sio mama yako. Mama yako ndio anatakiwa kua mmoja tu, unakuta mtu kang'ang'ania mke au mpenzi mmoja kama mama yake.

Anaetakiwa kua mmoja ni mama yako tu na sio wengine.

Kua na wanawake wengi fanya ngono mara nyingi uwezavyo ili kupuepuka uwezekano wa kuugua tezi dume.
 
Na baba wanatakiwa kuwa wangapi?
 
This is just a reminder.

Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.

Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.

Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.

Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.

Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.

Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.

We jamaaa pumbav kweli kweli...hii injili umeiotoa kitabu gani au sura ipi au ni mafunuo uliyoyapokea kutoka kwa nan?

Hii siyo karne ya Kuwa na wana wake wengi....ni karne ya kijikana, kijitakasa na kijitenga na uovu, muda wenyewe uko wap wa Kuwa na wanawake wengi,nguvu zenyewe zikowap za kupoteza na magonjwa yote haya....au Mpaka msikie sauti kutoka mbinguni kwamba ni nyakat za hatari, na anguko kubwa namna hii la HUMANITY? hatuoni kwamba hizi ni nyakati za kuukomboa Wakat? Kweli tuna macho lakin hatuoni....tumia nguvu zako kapige injili weweeee, unapoteza Mb za bure kuwaingiza Watu shimon!!!!
 
Hata ukiwa nao kumi lazima kuna mmoja ambae akikuacha utatoa mchozi
 
Kitu ambacho wanaume wenzangu hawajui ni kuwa wanadhani ni kazi ngumu sana kuishi na mwanamke kwa amani wakati kumbe ni kitu kirahisi sana....
Kwanza kabisa unatakiwa uelewe kuwa mwanamke ni kiumbe wa aina gani....
Ukishajua kuwa ni mwanamke wa aina gani lazima ujue kuwa huyo mwanamke anataka nini kwako....na je upo tayari kumtimizia....??
Chini ya jua hakuna kiumbe kisichopenda kuthaminiwa ,kupendwa, na kuheshimiwa....
Ukishajua kuwa wajibu wako ni kuyatimiza hayo ili kukamilisha furaha ya mwenzi wako.....
Amani itakayo kuwepo ndani ya ndoa yako itakufanya uwaone wanawake wa nnje kama ni mchawi wa ndoa yako....
 
Bora wewe useme.....
 
Back
Top Bottom