Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,609
Sijui mtoa mada kakurupukia Wapi huyu!!!Hata ukiwa nao kumi lazima kuna mmoja ambae akikuacha utatoa mchozi
Sijui mtoa mada kakurupukia Wapi huyu!!!Hata ukiwa nao kumi lazima kuna mmoja ambae akikuacha utatoa mchozi
Na pundamiliaNashangaaga binadamu wanapohalalisha mambo kisa wanyama wengine wanafanya. Akili zao kama hao hao kuku na mbuzi
Shangaa na wewe nae kakaa chini akafikiri akaandika....Ndio ushauri huo....???
Na vijana wengi tunaelekea kuchukua maamuzi kama hayo yako,siku hizi watu wanathamini tu mtoto/watoto wao na sio wanawake/wake zao,kwasababu hawaaaminiki hao ndio maana.Mimi na kazi moja tu ya kutafuta hela...ili niweze kuwapa good times watoto wangu wawili...huyo mama yao hata leo hii aende mm wala sijali.
This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
Hata huyo baba wapo waliobahatika wakawa na mababa zaidi ya mmoja kwani tumekua tukisikia kuwa mtoto yule ni wa fulani ndie aliweja ujauzito ila akamkataa akaamua kumtaja fulani akamkubali ndio aliemlea na kumsimesha au utasikia fulani alichepuka kipindi mumewe akiwa safarini aliporudi akakuta mkewe mjamzito wazee wakamshauli kwa kumwambia kitanda hakizai haramu na mfano wa hayoHata mume sio Baba pia
Lakini ukweli lazima usemwe, mwanamke mmoja kwa mwanaume hatoshi lakini pia male gender yoyote ni fahari kumiliki wanawake wengi, this is obvious and scientifically proven kwamba male gender ya aina yoyote kumiliki wanawake wengi ni fahari kwako.Nashangaaga binadamu wanapohalalisha mambo kisa wanyama wengine wanafanya. Akili zao kama hao hao kuku na mbuzi
Sijui ni science gani huthibitisha "ufahari".Lakini ukweli lazima usemwe, mwanamke mmoja kwa mwanaume hatoshi lakini pia male gender yoyote ni fahari kumiliki wanawake wengi, this is obvious and scientifically proven kwamba male gender ya aina yoyote kumiliki wanawake wengi ni fahari kwako.
Sijui ni science gani huthibitisha "ufahari".
It is also scientific proven that binadamu sio monogamous in nature. Hata wanawake hutamani wanaume wengine pia.
Kwahiyo usilazimishe kuwa mwanaume pekee ndo anahitaji wengi. Mfumo dume.
Mwisho wa siku sisi ni binadamu, tuna uwezo wa kuReason kama kitu ni sawa au hapana, na tunaweza kuthibiti tamaa za asili
[Ni kweli binadamu sio monogamous in nature lakini mahitaji ya ngono ya mwanamke na mwanaume hayako sawa, ukishajua hilo ndio utajua n kwa nini wanaume au jinsia ya kiume yoyote inahotaji kumiliki idadi kubwa ya wanawake.
Binadamu wote ni sawa ila hawako sawa katika mahitaji ya kimwili.
Mjumbe wa shetani at workThis is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
upo tayari mimi nigonge nje[
Kama ni kukidhi mahitaji kama yanavyokuja,
Hata wanawake wana mahitaji. Akiona mumewe hamuelewi au akihisi mapenzi kwa mwingine anaweza kwenda kujiliwaza.
Kama vipi mkubaliane kuwa in an open relationship, yeyote akijihitaji atoke.