Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Kwelii na hata mwenye imani kama yangu ya kikristo unadhani huu ushauri ni sahihi? Nadhani kikubwa ni kutokukurupuka unapotafauta patner.
Good point
Kwelii na hata mwenye imani kama yangu ya kikristo unadhani huu ushauri ni sahihi? Nadhani kikubwa ni kutokukurupuka unapotafauta patner.
This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
Siko Tayari kuletewa magonjwa. Kuna virusi vya HPV havizuiliwi na mipira.upo tayari mimi nigonge nje
siko tayari kuletewa magonjwa.Siko Tayari kuletewa magonjwa. Kuna virusi vya HPV havizuiliwi na mipira.
Uko tayari nikaonje nje?
Huu ndio ukweli wanawake wasiotaka kuukubali au kuusikiaNi kweli binadamu sio monogamous in nature lakini mahitaji ya ngono ya mwanamke na mwanaume hayako sawa, ukishajua hilo ndio utajua n kwa nini wanaume au jinsia ya kiume yoyote inahotaji kumiliki idadi kubwa ya wanawake.
Binadamu wote ni sawa ila hawako sawa katika mahitaji ya kimwili.
WATUMIA HATA INJILI KUHALALISHA UFUSKA.USIFANYIE MZAHA NENO LA MUNGU.NI ONYO NA USHAURI .NUCTA.This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
Imenibidi niwaze tu kuwa inamaana Mungu alikosea kumuumbia Adamu mke mmoja???! Yawezekana wakati Eve anarubuniwa na shetani yeye alikuwa akichepuka hukooo akimdeku tausi na kutamani angekuwa binadamu.Lakini ukweli lazima usemwe, mwanamke mmoja kwa mwanaume hatoshi lakini pia male gender yoyote ni fahari kumiliki wanawake wengi, this is obvious and scientifically proven kwamba male gender ya aina yoyote kumiliki wanawake wengi ni fahari kwako.