Kwa wanaume tu: Kukumbushana

Kwa wanaume tu: Kukumbushana

Ushauri wako umekuja baada ya kufikilia kwa kutumia kile kichwa kidogo kinachokaa katikati ya mwili...
Na hiyo ni mbaya sana,Chukua muda zaidi kabla ya kushauri kuliko kujishauri
Nimeshauri hivi kwa kua kila siku naona malalamiko ya vijana kuumizwa na kuachwa na wanawake wao.

A grave mistake tunayofanya wanaume ni kua na mke mpenzi mmoja,unaetakiwa kua nae mmoja ni mama yako tu.

Nimesema hayo kwa kua nina uzoefu uliotukuka kuhusu mahusiano na mapenzi, zamani nilikua hivyo, nikawa nakua na mpenzi mmoja na kumpenda sana, kumbe nilikua najichimbia kaburi mwenyewe.

Baada ya kugundua hiyo siri, niko huru sana,possesing many women and loving none.

You just take it or leave it ila nimefikisha ujumbe.
 
Hapana mmoja atosha ukifanya tathmini mkoloni yako ya zamani uliyoyapa uhuru au mengine kwa kibri yamejitangazia uhuru vikianza viboko mara huyu mdogo wake ana harusi yule kaka yake anatakiwa aende India so mchango wako unatakiwa achilia mbali viboom vya voucher na lunch uuuuh hapana bora mmoja.
 
Kho khooo samahan nimevamia
Ndugu mleta mada ningependa kukueleza katika mada yako kwanini umepotosha jamii huku ukitumiamistari ya neno la Mungu?(Mawazo yangu lakini)
 
Kaka wanawake wengi sio mpango,mpango mzima ni kujaribu kuleta uaminifu katika mapenzi sema binadamu ndo atujielewi tu na tunataka kumkosoA mwenyezi mungu
 
hivi hadi siku hizi watu hua wanawaza mapenz? Mimi hua najiwazia kila anaejifanya kunipenda sa iv ni mnafiki tu maana hua simwamini yeyote Nenda sehem mtu hakufaham beba taka uonekane umepigika mbaya uone kama kuna mtu atakushobokea
 
Kulia nako raha
Kuna yule dogo wa kike anajiita my name is my name alisema wanaume wa tanzania wanakufa upesi kwa vile hawalii wakipata matatazo.

Akasisitiza kwamba mwanaume ukilia unapendeza,wewe unasema kulia kuna raha yake.

Hatari aisee
 
Mimi na kazi moja tu ya kutafuta hela...ili niweze kuwapa good times watoto wangu wawili...huyo mama yao hata leo hii aende mm wala sijali.
 
mleta mada hongera na wanaume wote wangekuwa na mawazo km yk wallah dunia hii tusingesikia wanawake wanauza papuchi zao au ht kutembea uchi kwa kukosa wa kuwaongoza yaan mwanamke akiwa peke yake anajiamin kupitiliza ambayo hii ni kitu kibaya hana hofu na mume akijua muache hapa ndo nyumbn atarud azungushi wala haemi ndo maneno yao kwahy dawa ni zaid ya mmoja ila nashauri ndoa lazma jmn pia igen ERITREA hivyo suluhisho ni kuwa nao zaid ya mmoja kwa kuzingatia wanawqke wote wadhaifu isipokuwa wanne na wanne hawapo ni katika zama za wema waliotangulia hivyo hakuna mwanaume aliyekamilka kwa mwanamke mmoja.
 
Usiwe na mpenzi kabisa.......kuliko kuendekeza mtandao........
 
Back
Top Bottom