Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

tusi kubwa sana hilo kaka yangu heshima ya mwanamke ndio iko hapo. Unaweza kuwa na sura na shepu mbaya lakini uko kukiwa swafi unaheshimika kuliko miss world

Hilo nalo neno...ugumu ni kujua tu standard ya kujua hii inapwaya na hii imefika mahala pale
 
unajua kuna wakati Asprin ananiudhi kweli mpaka ananifanya natenda dhambi....

I feel you....
(Hata mi huwa ananiudhi kweli....):becky::becky::becky:
I hope hajasoma hapo....si hana miwani eeh! :becky:
 
Oh lile suala langu la kuhama upinzani eeh....?
Bila shaka.....:smile-big:

Haswaa.....naona mweka hazina anazubaa hadi unataka kujitoa chamani.....:A S 8::A S 8:
 
Haswaa.....naona mweka hazina anazubaa hadi unataka kujitoa chamani.....:A S 8::A S 8:

Re: Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!
Originally Posted by Smiles
Oh lile suala langu la kuhamia upinzani eeh....?
Bila shaka.....

Ona jinsi usivyo makini....
Ntapendekeza utolewe ukatibu....
Nihammie upinzani tena???? :confused2::confused2::confused2:
Niko upinzani afu nihamie tena upinzani nikitoka wapi...??
 
duh... Avatar na thread haviendani, kweli infidelity is here for life

nawe ucwe sensitive kihivyo, kuna wakati tunatakiwa tujiachie tuburudike sio kila mara tupo makini kama tunatafakari injili......
 
nawe ucwe sensitive kihivyo, kuna wakati tunatakiwa tujiachie tuburudike sio kila mara tupo makini kama tunatafakari injili......
HAHAAAAA

hapa ni kutafakari injili, kujiachia na pia kukubali kwamba infii is contageous

nimekutoa tunduni mazee, i love to see the way unavyojiachia, itabidi nikonsalt wakuu wa ISC kucheki kama kuna program ya kutrace kujiachia@yahoo.com

senksi
 
nawe ucwe sensitive kihivyo, kuna wakati tunatakiwa tujiachie tuburudike sio kila mara tupo makini kama tunatafakari injili......

Hapo ndo huwa nakuheshimu sana. Kila siku, saa, dakika tuwe serious kwani sisi ni maafande kwenye ligwaride lao la J3??? Wakati mwingini ni muhimu kubwaga moyo!!:clap2::yo::yo:
 

hehehe hii shule tosha kabisa,
 
Swali zuri kweli!! halipungui ila atapata tabu siku atakapokuwa na mwenza kwani hata akigusa paja! aatamwaga mapema alafu kupanda itachukuwa time! inshort hakipungui .. ila atakuwa tu mzembe siku akifanya ... na asipokuwa makini mwenza wake atamuona sio kabisa!.. namshauri atumie/afanye mazoezi hata MPENZI REVORA .. kutwa mara moja nikimaanisha uciku kabla hajalala :becky:
 
ile mashine huwa haipungui wala asihofu

tatizo ni kuimaliza hiyo miaka kumi bila kula tundala uhuru

mwenzenu nikipitiliza siku 3 basi siku ya nne nikipata huwa shida........
 
Duuh! Jamaa kanikumbusha Biology ya form three: Lamarck's Theory of Use and Disuse of biological Organs.

Kwa kifupi theory ina suggest kwamba kiungo kinachotumika huwa baada ya muda kinakuwa fanisi na imara zaidi wakati kile kisichotumika huwa kinakuwa dhaifu na wakati mwingine hupotea kabisa. Lamarck alitumia mfano wa wanyama na ndege kama inavyoonekana hapa chini, lakini pengine theory inaweza ikajibu hata hili swali la mshikaji.



NB: "Akili za kuambiwa changanya na zako": A Quote from Jakaya Mrisho Kikwete, Rais mstaafu mtarajiwa wa Jamuhuri ya Muungano uliopasuka wa Tanganyika, Unguja na Pemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…