BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,165
- Thread starter
-
- #61
Hahahahahaaa kama ukisema hvyo hakuna biashara utkayofanyaIyo biashara siwezi fanya
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpo umesema ukwel duka peke yake lazma nywele ziishe kichwanJust nia yangu n kuwa....!!biashara kila mtu anaiona faida yake kwa pale anapoona imemfikisha
Nilikuw na friji 1 now nnazo mbili...
Nilikuw na kreti 3 za soda...now nna 10
Hii biashara ndo inayonilipia kodi nlikopanga
Just angalizo tu...changanya biashara ukifanya hii biashara....!!ukitegemea duka tu utafeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mpo duniani kuwa against na kuunga juhudiIla kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wake wa kutoka ukoje pamoja na location maana naona hardware zipo city center nyingine zipo ndani ndani zipi unaona zinalipa, city center naona zinalipaKama utakuwa na mtaji mzuri fungua hardware. Vitu vyake vina faida kubwa kwa kimoja kimoja.
Nikweli AiseeeInaonekana usimamizi mzuri unahitajika,maana maduka mengi ya mtaani yanaendeshwa kifamilia,kila mtu anauza,wengine pesa wanabana.
Aiseee kumbeeeNimefanya sana hiyo biashara pale Mlandizi jirani na Bar ya Kauli ya Bibi, kikubwa ni lazima ukae mwenyewe dukani au mkeo, vinginevyo utapigwa tu. Mimi nilikosa usimamizi sababu naishi Kimara kazi nafanya mjini, kule nakwenda wikendi tu, mwisho wa siku nikaamua kuliuza duka kwa jamaa. Lakini ukweli ni kwamba inalipa sana ukiwa mwenyewe, pia niliweka na vibia viwili basi mwendo ulikuwa oya oya tu.
Mkuu shirima ebu nipe wazo nifanye biashara ipi Yenye faida nzuri, ambayo siwezi umia mfuko....Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duka la Home nlikuaga kila nkiingia natoka na vocha..Mama nae akitaka vocha anakwambia Nikopesheni vocha...Baba nae Nikopesheni...Mwendo huo kilichofwata lile duka saivi ni chumba cha dada wa kazi.Inaonekana usimamizi mzuri unahitajika,maana maduka mengi ya mtaani yanaendeshwa kifamilia,kila mtu anauza,wengine pesa wanabana.
Haha haha so hizi biashara chengaDuka la Home nlikuaga kila nkiingia natoka na vocha..Mama nae akitaka vocha anakwambia Nikopesheni vocha...Baba nae Nikopesheni...Mwendo huo kilichofwata lile duka saivi ni chumba cha dada wa kazi.
Zinalipa ila lisiwe duka la familia. Liwe lako na uuze mwenyewe sio uajiri maana PIPI hazihesabiki, sukari haihesabiki,Yani duka la reja reja Vitu vingi havihesabiki halafu ubaya ni kwamba Hela za chumvi, sukari, unga, marage zote zinakaa sehemu Moja. Hela zinazotengwa za vocha tu duka ZIMA.Ha
Haha haha so hizi biashara chenga
Kweli kabisa mfuko wa sukari 25 kg unaisha lini unakuta umenunua 52000Tsh mpaka uishe sasa uwe na wateja kumi kilo 1 wanunue kwa siku tatu faida 10000 huo mfukoTatizo ni muda gani hizo bidhaa zina isha ndiyo ishu, ok any way kwakuwa umechagua wewe basi sawa wewe fanya
sumsung galaxy s10 oreo 8.0
Uwe labda na ngekewa ya wateja na ujue wanatokea upande upi? Suala la mkopo ni shughuli nyingine tena.zinalipa ila lisiwe duka la familia..Liwe lako na uuze mwenyewe sio uajiri...Maana PIPI hazihesabiki,Sukari haihesabiki,Yani duka la reja reja Vitu vingi havihesabiki halafu ubaya ni kwamba Hela za chumvi,sukari,unga,marage zote zinakaa sehemu Moja...Hela zinazotengwa za Vocha Tu duka ZIMA...
Tena biashara ya DUKA ndio mamaaaaaaa wanaibaaa ila tu ikichanganya biashara hata waibeje hawakufilisi..Raha ya hii biashara kama ni Gari likishawaka basi mwendo ni Huoooooo mpk mwisho wa safari ONLY IF (hutokua mpenda papuchi)Hahahaaa hakuna msaidizi asiyeiba...hii biashara kaa mwenyew ndugu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kama papuch ni sana huwezitEna biashara ya DUKA ndio mamaaaaaaa wanaibaaa ila tu ikichanganya biashara hata waibeje hawakufilisi..Raha ya hii biashara kama ni Gari likishawaka basi mwendo ni Huoooooo mpk mwisho wa safari ONLY IF (hutokua mpenda papuchi)
Crate 3 faida ni 2,500x3=7,500. Umeme wa siku 2 hizo ni 2,500 unabakiwa na 5,000÷2=2,500 kwa siku kwenye soda.Inategemea na mzunguko wako.....ukiuza soda pia uwe na friji zuri...wateja hupenda soda zile baridi kweli...ndo hua nnachowakamatia hapo...nina kreti sita....ila ndan ya siku 2 kreti 3 tyr zmeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ivoo sasa ni ngumu sana kuuza vyote vikamove labda upate location au iyo 75,000 uliyozidisha sifuri najua ulimaanisha 75,000 wewe weka 40,000 ndo iwe faida yako au 30,000Crate 3 faida ni 2,500x3=7,500. Umeme wa siku 2 hizo ni 2,500 unabakiwa na 5,000÷2=2,500 kwa siku kwenye soda.
Kwa hesabu ya haraka haraka uwe na items kama 30 zinazokupa faida ya 2,500 kwa siku. 2,500x30 = 75,0000. Sio mbaya!