Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

Iyo biashara siwezi fanya
Hahahahahaaa kama ukisema hvyo hakuna biashara utkayofanya

Kupitia ulchosema nakutajia wew n mtu wa aina gan

Una mtazamo hasi katika biashara au chochte chenye faida ndogo kwako

Sasa hv n either umepanga na mshkaji au upo kwa shangaz au anko or kwa wazaz

Unazurura tu mtaani unachagua kaz na still ukitegemea kuwa ukirud utakuta chakula getho o wanakokulea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just nia yangu n kuwa. Biashara kila mtu anaiona faida yake kwa pale anapoona imemfikisha

Nilikuw na friji 1 now nnazo mbili.

Nilikuw na kreti 3 za soda, now nna 10

Hii biashara ndo inayonilipia kodi nlikopanga

Just angalizo tu. Changanya biashara ukifanya hii biashara, ukitegemea duka tu utafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh mboni konk
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just nia yangu n kuwa....!!biashara kila mtu anaiona faida yake kwa pale anapoona imemfikisha

Nilikuw na friji 1 now nnazo mbili...

Nilikuw na kreti 3 za soda...now nna 10

Hii biashara ndo inayonilipia kodi nlikopanga

Just angalizo tu...changanya biashara ukifanya hii biashara....!!ukitegemea duka tu utafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hpo umesema ukwel duka peke yake lazma nywele ziishe kichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mpo duniani kuwa against na kuunga juhudi
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utakuwa na mtaji mzuri fungua hardware. Vitu vyake vina faida kubwa kwa kimoja kimoja.
Muda wake wa kutoka ukoje pamoja na location maana naona hardware zipo city center nyingine zipo ndani ndani zipi unaona zinalipa, city center naona zinalipa
 
Nimefanya sana hiyo biashara pale Mlandizi jirani na Bar ya Kauli ya Bibi, kikubwa ni lazima ukae mwenyewe dukani au mkeo, vinginevyo utapigwa tu. Mimi nilikosa usimamizi sababu naishi Kimara kazi nafanya mjini, kule nakwenda wikendi tu, mwisho wa siku nikaamua kuliuza duka kwa jamaa. Lakini ukweli ni kwamba inalipa sana ukiwa mwenyewe, pia niliweka na vibia viwili basi mwendo ulikuwa oya oya tu.
Aiseee kumbeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shirima ebu nipe wazo nifanye biashara ipi Yenye faida nzuri, ambayo siwezi umia mfuko....
 
Ha
Duka la Home nlikuaga kila nkiingia natoka na vocha..Mama nae akitaka vocha anakwambia Nikopesheni vocha...Baba nae Nikopesheni...Mwendo huo kilichofwata lile duka saivi ni chumba cha dada wa kazi.
Haha haha so hizi biashara chenga
 
Ha
Haha haha so hizi biashara chenga
Zinalipa ila lisiwe duka la familia. Liwe lako na uuze mwenyewe sio uajiri maana PIPI hazihesabiki, sukari haihesabiki,Yani duka la reja reja Vitu vingi havihesabiki halafu ubaya ni kwamba Hela za chumvi, sukari, unga, marage zote zinakaa sehemu Moja. Hela zinazotengwa za vocha tu duka ZIMA.
 
Tatizo ni muda gani hizo bidhaa zina isha ndiyo ishu, ok any way kwakuwa umechagua wewe basi sawa wewe fanya

sumsung galaxy s10 oreo 8.0
Kweli kabisa mfuko wa sukari 25 kg unaisha lini unakuta umenunua 52000Tsh mpaka uishe sasa uwe na wateja kumi kilo 1 wanunue kwa siku tatu faida 10000 huo mfuko
 
zinalipa ila lisiwe duka la familia..Liwe lako na uuze mwenyewe sio uajiri...Maana PIPI hazihesabiki,Sukari haihesabiki,Yani duka la reja reja Vitu vingi havihesabiki halafu ubaya ni kwamba Hela za chumvi,sukari,unga,marage zote zinakaa sehemu Moja...Hela zinazotengwa za Vocha Tu duka ZIMA...
Uwe labda na ngekewa ya wateja na ujue wanatokea upande upi? Suala la mkopo ni shughuli nyingine tena.
 
Hahahaaa hakuna msaidizi asiyeiba...hii biashara kaa mwenyew ndugu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena biashara ya DUKA ndio mamaaaaaaa wanaibaaa ila tu ikichanganya biashara hata waibeje hawakufilisi..Raha ya hii biashara kama ni Gari likishawaka basi mwendo ni Huoooooo mpk mwisho wa safari ONLY IF (hutokua mpenda papuchi)
 
tEna biashara ya DUKA ndio mamaaaaaaa wanaibaaa ila tu ikichanganya biashara hata waibeje hawakufilisi..Raha ya hii biashara kama ni Gari likishawaka basi mwendo ni Huoooooo mpk mwisho wa safari ONLY IF (hutokua mpenda papuchi)
Duuh kama papuch ni sana huwezi
 
Inategemea na mzunguko wako.....ukiuza soda pia uwe na friji zuri...wateja hupenda soda zile baridi kweli...ndo hua nnachowakamatia hapo...nina kreti sita....ila ndan ya siku 2 kreti 3 tyr zmeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Crate 3 faida ni 2,500x3=7,500. Umeme wa siku 2 hizo ni 2,500 unabakiwa na 5,000÷2=2,500 kwa siku kwenye soda.

Kwa hesabu ya haraka haraka uwe na items kama 30 zinazokupa faida ya 2,500 kwa siku. 2,500x30 = 75,0000. Sio mbaya!
 
Ndiyo ivoo sasa ni ngumu sana kuuza vyote vikamove labda upate location au iyo 75,000 uliyozidisha sifuri najua ulimaanisha 75,000 wewe weka 40,000 ndo iwe faida yako au 30,000
 
64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom