hongera sana mkulu, mimi ni mpenzi sana wa kuchora japokuwa nina muda mrefu bila kupractice nadhani tunaweza kukumbushana.
Samson Cyper ngoja nikitulia nitatuma picha nilizochora aseee hii sredi idumu
khs mzee ilikua kitambo sana miaka ya 90s uko nilipokua primary aligoma akifikir sio kazi za kitaalam/taaluma
Congrats unajitahidi sana
majarida ya bongo, tabasamu na bantu yamekufa