Kwa Wanaopenda Uchoraji

Kwa Wanaopenda Uchoraji

Bausa huyo. Muite Siera.
 
Attachments

  • 1398276839310.jpg
    1398276839310.jpg
    62.9 KB · Views: 404
google helper niunganishe na uyo mtu pm pliz
yan napenda kuchoraaa wanyama vitu nk na yanifanya akili inatulia sana na furaha, baba tu ndo aligoma nilitaka sana nijiendeleze ktk uchoraji/paintings hasa
 
Last edited by a moderator:

Karibu Kijana. Hapa ndio sehemu yetu Wachoraji lakini nashangaa sioni Picha za Wasanii wengine. Karibu uweke talanta yako Mungu aliyokupa. Umeishamuuliza Baba ako kwann hapendi uchore?
 
Last edited by a moderator:
EPUKA UKIMWI,
BAKI NJIA KUU.
•Happy Sunday
 
Attachments

  • 1398584338598.jpg
    1398584338598.jpg
    61.2 KB · Views: 237
Heshima ya Sanaa ya Uchoraji.
 
Attachments

  • 1398593073489.jpg
    1398593073489.jpg
    52.6 KB · Views: 239
Baada ya kimya kingi hizi ndio kazi zangu mpya
 
Attachments

  • 1398861731205.jpg
    1398861731205.jpg
    110.8 KB · Views: 243
  • 1398861776996.jpg
    1398861776996.jpg
    58 KB · Views: 235
Picha Mpya hizi hapa
 
Attachments

  • 1399740336601.jpg
    1399740336601.jpg
    88.2 KB · Views: 235
  • 1399740419738.jpg
    1399740419738.jpg
    84 KB · Views: 213
  • 1399740455676.jpg
    1399740455676.jpg
    34.3 KB · Views: 214
hizii picha unaweza ukaanzisha office yako katika hotel kubwa hasusani zilizopo bichi
UKAWA UNAUZA ZILOZOCHORWA LAKINI PIA UNAWACHORA WATU NA KUWAUZIA

mimi napenda kuchorwa ungekuwa uko karibu njngekuwa mteja wako
 
hizii picha unaweza ukaanzisha office yako katika hotel kubwa hasusani zilizopo bichi
ukawa unauza zilozochorwa lakini pia unawachora watu na kuwauzia

mimi napenda kuchorwa ungekuwa uko karibu njngekuwa mteja wako

wazo zuri sana dada angu. Tatizo mi focus yangu imelenga kutoa vitabu vya watoto na vya story. Pia napenda kufanya cartoon animation. Kwahiyo itakuwa kwenye movie kama tom and jerry. Ila nitakuwa nafanya freelance kama hizi kidogo kidogo.
 
unaweza pia ukapeleka sample kwenye mahotel
kama uko moshi ni pm nikupe watu wa kampuni moja kubwa pale

kama upo dar NAOMBA UNICHORE NITAKUFANYIE PROMO KWENYE MAMBO YA UREMBO
 
unaweza pia ukapeleka sample kwenye mahotel
kama uko moshi ni pm nikupe watu wa kampuni moja kubwa pale

kama upo dar NAOMBA UNICHORE NITAKUFANYIE PROMO KWENYE MAMBO YA UREMBO

Nipo Mwanza kaka. Ngoja niku PM tuongee vizuri.
 
Back
Top Bottom