Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,648
- 3,807
Asante kaka. Lakn bila ninyi sintofika popote. Msichoke kunipa support
Uko vizur kaka,,kip it up
Asante kaka. Lakn bila ninyi sintofika popote. Msichoke kunipa support
Nimependa picha zako zinaonyesha jinsi gani ulivyo talent Na zinanyesha uhalisia Kaza buti Mbuyu ulianza kama mchicha
Daaah hii thread imenikumbusha mbali sana enzi za Mwl. Lulabuka!! Dah nakumbuka kipindi hicho nasoma secondary mwishoni mwa miaka ya tisini, picha za kuchora wana muziki kwenye masaloon ndo ilikuwa habari ya mjini, chini ya Marine and StoneK nilijifunza mengi.... Though nilipoenda A level niliacha kuchora kabisa hadi Leo..
Hongera sana. Tupe Picha zako Mkuu. Halafu usisahau Ku Like page yangu tuwe pamoja
Kazi nzuri
Ulikuwa umevaaa nguo au ulikuwa umevaa suti ya asili? Kama ni suti ya asili hata mimi ningekoseajamani unajua kuchoraa hongeraa natamani unichore namimi..nina picha mbili nliwaambia wachoraji wanichore wakakosea kabis yaan hawajanipatia..nahis wewe utaweza...
Ulikuwa umevaaa nguo au ulikuwa umevaa suti ya asili? Kama ni suti ya asili hata mimi ningekosea
Mkuu Fan Arts ndiyo ilikuwa darasa langu la "OPTION" nilipojiunga na kidato cha kwanza mpaka cha cha nne.Kumbe na wewe ni Mchoraji!!