jamani am also an artist .....nawaunga mkono all my fellows wanaokubali art....na wanao do art...nipo kwenye hili game sema nipo too quiet ....pilika za masomo zanisumbua....but big up saana to idris napenda his works...but inabidi..a advance kwenye colours cause they reveal the reality ...of any pic....am open kwa yoyote anaetaka ajue zaidi kuhusu mambo ya art .....but siwaacheni hvi hvi u can check out the pic i just did recently kwenye attachment hyoooo.......remember
''ALL CHILDREN ARE BORN ARTISTS BUT THE PROBLEM IS REMAINING AN ARTIST TILL AN ADULT.....'' by Pablo Picasso.
View attachment 210032