Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

UKIMWI unavyotafuna vijana - JamiiForums
Kijana: Epuka UKIMWI ili usidharaulike - JamiiForums
Mkasa wa kweli: Aliniambukiza UKIMWI, acha ningojee siku zangu nife - JamiiForums
Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama - JamiiForums
Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI - JamiiForums
NAJUTA: Ningejua nisingesoma huu uzi wa mwathirika, nimechanganyikiwa, tunauana humu ndani - JamiiForums
UKIMWI jamani, UKIMWI! - JamiiForums

We endelea tu kujipa moyo kwamba utatumia kondom, walioupata sio wajinga walijua fika zipo kondom

nishukuru baadae
ciao adios
 
Hii nzuri sana tatizo moja ukizoea one night stand, huwezi kuishi na mume au mke utaona ni kero tena balaa maana ujazoea jam jam za ajabu ajabu

Asilimia kubwa ya vijana ke na me tunaowalazimisha waoe au waolewe mpaka familia zinaitana vikao ni wale waluozoea michezo hii ya chapa ilale sitaki shobo
 
Nenda mwananyamala pale panaitwa kwa Wahaya utapiga one night stand mpaka hiyo mshine ioze.
 
Hivi unapokuwa umemuona manzi mmoja mujaribu na ukaamua kuenda kumpigia nyeto kimoja tu ...hii nayo hatuwezi kuingiza kwenye one night stand...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…