soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,353
- 2,186
Hivi kwenye one night stand uwa mnapimana? Au ndio mnatumia kinga then oral sex kama kawaida mixer ma deep kissing
Achana nae njoo tuyajenge huku mamii..Na wewe unaletaje hapa habari za corona? Unaona hii ni mada ya corona?! Kutuchanganyia mada hapa inaonesha jinsi ulivyo na akili fupi kama mkia wa mbuzi
Nini maana ya "One night stand"
Nimeuliza hajanijibuOne Night Stand Maana yake nini?
Kuuliza sio Ujinga Bata Boy Official
A one-night stand is a single sexual encounter in which there is an expectation that there shall be no further relations between the sexual participants. The practice can be described as "sexual activity without emotional commitment or future involvement".One Night Stand Maana yake nini?
Kuuliza sio Ujinga Bata Boy Official
Ahaaa Aisee hatari SanaA one-night stand is a single sexual encounter in which there is an expectation that there shall be no further relations between the sexual participants. The practice can be described as "sexual activity without emotional commitment or future involvement".
Hivi kwenye one night stand uwa mnapimana? Au ndio mnatumia kinga then oral sex kama kawaida mixer ma deep kissing
Duh, naona umechafukwa mkuuHili ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki....mada za corona nenda Siasa kule ama hoja mchanganyiko ukishindwa hata Kenya news sio mbaya
Mpe ushirikiano bata boy
hapana mkuu
Kula tunda na mtu mpya ni Raha kuliko kurudia ya zaman amini nakuambiaHuogopi kusex na mtu mpya?
Deep, Niko mlangoni nabosha hodii😍😍😍😍😍Hili ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki....mada za corona nenda Siasa kule ama hoja mchanganyiko ukishindwa hata Kenya news sio mbaya
Kama hiyo One Night Stand inahusisha mtongozo kwa maana ya mtongozo, basi ipite mbali na mimi. Nipo busy, no time to waste.Mkuu hii ya MACHANGUDUO sasa ni mada nyingine kabisaaaa....hapa tunaongelea ONE NIGHT STAND,sio kununua malaya/changuduo.
Mm ni wale wa 365 nights stand sio 1 9t stand
[emoji23]hapana ni Mnyamwezi uyuhahahaa hakakua kapare au kachagga kweliii?