Hii kauli sijaipenda... hasa ukizingatia nilikosa nafasi ya kufanya kolabo na Diamond kwenye kale kaSalome... Diamond ana roho mbaya, eti alinambia sauti yangu labda nimtafute Man Fongo niimbe singeli ya hakunaga ushemeji remix...
Basi Poa.Kwa sasa siishi Tabora niko nje ya hapo.
Nisamehe mzee si unajua tena mjomba kaja sema ujue nini lile gari linaenda na bado mbuzi hawajala mwambie mwalimu watoto wakitoka shule waache wale mafundi waje na radio na kesho pilot anaruka basi kijijini shida umeme yaani duka la mangi anauza spea za trekta na utumbo wa mbuzi
Hahahahaha si nilikuwa namtuliza babu hapo alitaka kuwa kama mbogo aliyejeruhiwaDaaah wewe mwana siasa nini hehehehehehehee maana si kwa sound hilii hahahahahhahahaaaa looh
Nipo mimi mnyamwezWanyamwezi hawapo mitandaoni. Hapa utakutana na wanyanyembe tu.
Duh we Jamaa umetafsiri sivyoWamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako

Hahahaha napenda tu ukiwa na furaha ,Napenda vile una smile na hiyo dental formula yako na hako ka mwanya ...Hhahahahahahhaaaa you know what.........
By the way you know it, unanifanya maruhani ya kuanza kuimba yashuke saa hii hehehehehehee
You'll always be a part of me
I'm part of you indefinitely
Boy don't you know you can't escape me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby
And we'll linger on
Time can't erase a feeling this strong
No way you're never gonna shake me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby
lets sing together please..... cheers
Enheeeee.... sasa uwage unasema taratibu. Watoto watasikia bhana...Babu weweee, huyo mtoto na laptop yake alivoipakata yaani I can see you.... hehehehheeeee
A hug from behind and a kiss by the side...
Hehehehe... ngoja nikachukue tarumbeta la Masekela. Hapo kwenye besi usitie shaka... Barry White alishaniombaga nimuzime japo nusukilo ya besi langu...Hhahahahahahahahaaaa usijali babu mie nataka nije nitoe kolabo na wewe, halafu wajua babu mie nina imba kuanzia sauti ya 1, 2 hadi ya 3 hivo wewe utajazia besi tuu. Hapo hata akapela tunaimba watatukomajee hehehehee na nnavopenda kuimba Kasie mie naimba usiku kuca na sauti wala haikauki iko pale pale bila kuramba chumvi wala kula yai bichi utaburudikajeee.....
Wivu sina ila roho inauma...Hhahahahahahhaaaa you know what.........
By the way you know it, unanifanya maruhani ya kuanza kuimba yashuke saa hii hehehehehehee
You'll always be a part of me
I'm part of you indefinitely
Boy don't you know you can't escape me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby
And we'll linger on
Time can't erase a feeling this strong
No way you're never gonna shake me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby
lets sing together please..... cheers
Hehehehe... ngoja nikachukue tarumbeta la Masekela. Hapo kwenye besi usitie shaka... Barry White alishaniombaga nimuzime japo nusukilo ya besi langu...
BTW unaufahamu wimbo wa Barry White "practice what you preach?" Huo ntauwekea melody ya taarab ili umwimbee huyu @Yagamashika.... Naona ana maneno mengi kama Hadija Kopa wakati utendaji wake uko slow kama Dr. Shein.
Huyo ukimdeti na bahati mbaya ukapata ujauzito... utajifungua baada ya miezi 27. Yuko slow mpk kwenye kumbegusha.
Wivu sina ila roho inauma...
Naenda kusema kwa mama...
Ila Mungu anakuona
Hehehehe... ngoja nikachukue tarumbeta la Masekela. Hapo kwenye besi usitie shaka... Barry White alishaniombaga nimuzime japo nusukilo ya besi langu...
BTW unaufahamu wimbo wa Barry White "practice what you preach?" Huo ntauwekea melody ya taarab ili umwimbee huyu @Yagamashika.... Naona ana maneno mengi kama Hadija Kopa wakati utendaji wake uko slow kama Dr. Shein.
Huyo ukimdeti na bahati mbaya ukapata ujauzito... utajifungua baada ya miezi 27. Yuko slow mpk kwenye kumbegusha.
Na mkalimani hapaUmejulia wap kisukuma!?!
Teh teh Babu una visa umeamua kugeuza jina langu wakati wa kuni mention ili nisione ?
Bora Khadija Kopa kuna kimasomaso cha Issa Matona
Wosia wangu kwa Kassie ....
Ijapakuwa na mwao sitaki mnitukane
Ninawaita wazazi waje hapa tuonane
Wanipe mkaja wangu zipatazo 800
Tumuweke mchangani mwali amsemezae aseme
Uinue uso juu mama wahisani wakuone
Uangaze kila pembe na wabaya uwaone
Anapokuja mumeo nyumbani hujambo muulizane
Umpokee mkoba mama kilio ndani ukione
Uthahadhari na shoga wasije wakunyang'anye
Leo umepata wako mahawara na wakome
Somo yake bi harusi hebu nitafutieni
Na kungwi lake harusi wote waje hapa uwanjani
Tuje tumfunze mwali malezi ya kizamani
Unapopelekwa kwako mama unapofika nyumbani ukacheke na mumeo mama umpumbaze chumbani ....
Wakaja mashoga zako sema nao dirishani ....
Ukaisikia hodi mama ushungi uwe kichwani
Huenda akawa mumeo usimkere moyoni
Kamwambie bwana pita kwa sauti ya huzuni
Umkandekande mabega mume kachoka kazini
Huku ukichekacheka na macho yawe laini ...
Eti aje hapa ...tuhangaike nae
Mimi nimemaliza na u slow wangu
Teh teh kama naanza kukujulia hiviAfu nimegundua hata mie nilikosea kuku mention bila kustuka looh hehehehehee polee
Naupenda huo wimbo halafu ukitoka huo unaingia wimbo wa njenje kisha namalizia na wimbo wa kinyau nyau....
yaya nene getegete nkanile(in magu tongue).Karibuu