Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Hahahaha babu mtego huo ,ukilewa kazi za kibaolojia utafanyaje ,mie mpiga kinanda ndio nita kaimu nafasiYou are my boy!!!
Nimefurahi pia kumbe una rubunika kirahisi
Hahahaha babu mtego huo ,ukilewa kazi za kibaolojia utafanyaje ,mie mpiga kinanda ndio nita kaimu nafasiYou are my boy!!!
Wewe unataka kunitega na babu Asprin wako ili nihamishe majeshi kwako halafu Kassie anione hamnazodear..usikonde hapa stori tu....!
Wewe unataka kunitega na babu Asprin wako ili nihamishe majeshi kwako halafu Kassie anione hamnazo
Nimewashtukia

Bora iwe hivyo....dear..usikonde hapa stori tu....!
only u hny!!!Bora iwe hivyo....
Mie naomba kununuliwa red lebel tu hapa koo limenikaukaHahaha babu mjanja kamata Remy Martin bottle mbili nitakuja kulipa

I love you too babes...only u hny!!!
Nipe sababu kuu tatu zilizokufanya leo usinisalimie...Mie naomba kununuliwa red lebel tu hapa koo limenikauka![]()
Alikuwa anakuimbia ule wimbo wa ccm mbele kwa mbeleHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Jiandae kesho nikukabidhi mimba...
Teh teh Babu Asprin ale vyake huko wengine tununueMie naomba kununuliwa red lebel tu hapa koo limenikauka![]()
Sababu ya kwanza "ukipotezewa na wewe mpotezee" kama hujaelewa mwambie geniveros akusaidie kukutafsiriaNipe sababu kuu tatu zilizokufanya leo usinisalimie...
Anza na ile mbaya zaidi...
Mie na hicho kizee wapi na wapi?Kama hautaki si uniambie tu???Teh teh Babu Asprin ale vyake huko wengine tununue
Ebu Babu njoo beba majukumu yako huku

Umejulia wap kisukuma!?!wimbo wa buriani
Eti eeh ? Sitaki ndio bibie nalea ndoa yangu hapaMie na hicho kizee wapi na wapi?Kama hautaki si uniambie tu???![]()
Hiyo ndio sababu kubwa nyingine hazina mashikoSababu haina mashiko...
Ya pili??
Nakumbuka nilikukabidhi huyu mchuchu... vipi tena??Teh teh Babu Asprin ale vyake huko wengine tununue
Ebu Babu njoo beba majukumu yako huku