Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Ndoa yako na nani?Eti eeh ? Sitaki ndio bibie nalea ndoa yangu hapa
Ndoa yako na nani?Eti eeh ? Sitaki ndio bibie nalea ndoa yangu hapa
Una kesi ya kujibu...Hiyo ndio sababu kubwa nyingine hazina mashiko
Anhaaaa.....Mie na hicho kizee wapi na wapi?Kama hautaki si uniambie tu???![]()
Kesi gani? Angalia usije ukashindwa hiyo kesi yakoUna kesi ya kujibu...
Ole wako...
Mlalamikaji mimi...Kesi gani? Angalia usije ukashindwa hiyo kesi yako
Eeeh bibie jamani maneno huwezi kusoma na picha pia jamaniNdoa yako na nani?
Nilikataaa kweupee kubeba majanga yako nani anamtaka bepari ?Nakumbuka nilikukabidhi huyu mchuchu... vipi tena??
Mie jeshi la mtu mmoja siwezi shindwa chochoteMlalamikaji mimi...
mwendesha mashtaka mimi...
Hakimu mimi...
Ntashindwaje kwa mfano??
Asprin hebu njoo uniambie mke wa huyo ni nani?Eeeh bibie jamani maneno huwezi kusoma na picha pia jamani
Babu mwambie mkeo nina hisa zangu kule unapopiga misele yako ya biolojia nisije nikavunja ndoa yenu bure
CC Honey FaithNilikataaa kweupee kubeba majanga yako nani anamtaka bepari ?
Eti anamtaka mchepuko wetu KasindeAsprin hebu njoo uniambie mke wa huyo ni nani?
Imekuaje hadi uniquote?
Mweeh nikajua geniveros kumbe @Kasie?Haya all the best
Sijakuquote, nimekumensheniImekuaje hadi uniquote?
Yani kaniumbua mchana kweupeSijakuquote, nimekumensheni
We veepee?? Huoni umepigwa kibuti nan huyo bazazi mpenda vya watu??
Ni binamu yangu na ninampendaAfu huyu geniveros mbona unamtaja sana?? Utachapwa... shauri zako
Basi sawa. Nlikuwa sijuiNi binamu yangu na ninampenda
Mdelete kwenye moyo wako, afu uniweke mimi kaka yako.Yani kaniumbua mchana kweupe
Ndio bibi yangu huyo ama?Basi sawa. Nlikuwa sijui