Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,461
- 829,860
Basi hapana shaka, siku kumbukumbu ikirejea hapahapa ntakunukulu kisha jambo liendelee.
Wakedhije wa kaya.
hethina mburi kabitha
Basi hapana shaka, siku kumbukumbu ikirejea hapahapa ntakunukulu kisha jambo liendelee.
Wakedhije wa kaya.
hethina mburi kabithaTeh teh acha tu nife kama Mjerumani na tai yangu shingoniHhahahahahahahahahaa heheheheheheheheheeee hahahahahahahahahahahahahhahahahahahahaaaaaa iihihihihihihihihihihihihihihihihihihihihhh aaahhhh hahahahaaa jamaniii looh
Yaani unajua wewe na babu Asprin mnanivunja mbavu na kufanya hapa nilipo nionekane hamnazo hehehehehehehheee
Sasa ukisusa wenzio, vizuri huwa viko radhi kuhatarishwa hata uhai, haya bana nashukuru lkini kwa burudani usijali babu atasoma tuu hapa na akipata maana yake atakufata hukohuko ulikoenda, jiandae tuu heheheheeee.
Acha niendelee kucheka na kufurahia maisha mie aah.
Teh teh acha tu nife kama Mjerumani na tai yangu shingoni
Afterall huko niendako nina ahadi yangu ya mabikra wa kutosha niombee tu niionje Firdaus
Wacha kina babu Asprin na wengineo waendelee kuhatarisha maisha yao na mzigo bado hawapati
Una waenjoy tu hapa ikifika Magharibi wageukia kwa babu yako
So long Kassie
Kulowela we mgosya nawuka nemdomdoWawaga wa hwaniii walawela kinyamwez
Mmh wewe ni mnyamwezi.Wafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.
Wangaluka mwana wa Ntemi - Umeamkaje mtoto wa Mtawala.
Siyo Walolo mayo ni Aluyu mayo inamaanisha huyu hapa mama(mwanamke),
Watolwa mwana wa Ntemi - Ameolewa mtoto wa Mtawala.
Mimi ni MdakamaMmh wewe ni mnyamwezi.
Hakyamama naona kama mwisho wa dunia unakaribia... najaribu kuimajini Kasie anavozungusha chura lake kwa ragamafini wakati babu ODM kiuno changu kimekakamaa ragamafini naicheza kwa miondoko ya kwaito... wallah hata malaika mbinguni watasimama kuishangilia hii kombineshen...Aaaaaahahahahahahahahahhaa hahahahahhaahhaaa heheheheheheheheheeheeee aahahahahahahahahhaaaa
Hivi babu unajua kuna watu hapa nilipo hawanielewi nacheka nini maana wananiona niko busy na laptop wakija kuchungulia ni nini wanakuta nimeminimize wall imebaki wall ya mziki wa ragga muffin (halafu siku moja ntataka tucheze wote hili dance, wajua Kasie anapendaga sana kunesa nesa hehehehe)
Kwahiyo babu, unataka tego linase kwa Kima bin Tumbili Nyani Ngabu? usihofu bana hakuna wa kuniwekea tego mnyamwezi mie na akijaribu mtu kuniwekea tego basi kabla ya kuchomeka ala mie najua kulinasua tego kisha tunafanya yetu na tukimaliza nalirudishia palepale.
Na tabia hii ya ubinafsi wameambukizwa na waarabu wa Tabora.
Babu mie na weye naona tumeandikiwa uzima wa milele tuurithi pamoja kwakweli hivyo kuja kulala kwako hakuna namna hadi saa hii mbavu zangu kwishney... hehehehehehheeeee
Hakyamama naona kama mwisho wa dunia unakaribia... najaribu kuimajini Kasie anavozungusha chura lake kwa ragamafini wakati babu ODM kiuno changu kimekakamaa ragamafini naicheza kwa miondoko ya kwaito... wallah hata malaika mbinguni watasimama kuishangilia hii kombineshen...
Baada hapo Kassie atakuwa na kazi ya kummasaji babu maana kiuno kitakuwa kishakaza kama mchezaji mstaafu wa soka.
Sasa jaribu kuimajini mchezo kitandani wenye kombinesheni ya kwaito na ragamafini... Mungu hawezi kuichukulia kama dhambi bali atatupongeza kwa ubunifu... Maana ni kama mechi kati ya Mbeya City Vs Barcelona afu Messi awe golikipa.
Tufanye hima hili tukio lifanyike kabla tetemeko jingine hakijatokea Muleba
The only way for you to survive this battle is creating a strong relationship with Mshana Jr otherwise the hunter might become the hunted.Teh teh acha tu nife kama Mjerumani na tai yangu shingoni
Afterall huko niendako nina ahadi yangu ya mabikra wa kutosha niombee tu niionje Firdaus
Wacha kina babu Asprin na wengineo waendelee kuhatarisha maisha yao na mzigo bado hawapati
Una waenjoy tu hapa ikifika Magharibi wageukia kwa babu yako
So long Kassie
Hell no iam a proper Christian and im told that whoever depends on a human being is cursedThe only way for you to survive this battle is creating a strong relationship with Mshana Jr otherwise the hunter might become the hunted.
Hii vita siyo ya kitoto tena especially kinababu wanapokuwa involved in any matters.
Warning: Watch your back.
I understand but in this Battle you are in Samson's shoes, possibility of your eyes Scorpioned is very high.Hell no iam a proper Christian and im told that whoever depends on a human being is cursed
I will always stand on my own feet so God be with me
Hahah It doesn't really bother me ,i know im in the battlefield and the strongest will surviveI understand but in this Battle you are in Samson's shoes, possibility of your eyes Scorpioned is very high.
Chasing Delilah makes you vulnerable kwa sumu ya Nge despite being a good Christian.
The only way for you to survive this battle is creating a strong relationship with Mshana Jr otherwise the hunter might become the hunted.
Hii vita siyo ya kitoto tena especially kinababu wanapokuwa involved in any matters.
Warning: Watch your back.
I understand but in this Battle you are in Samson's shoes, possibility of your eyes Scorpioned is very high.
Chasing Delilah makes you vulnerable kwa sumu ya Nge despite being a good Christian.
All the best mwaya...
Thanks you are such a darling kumbe ? ,mbona sifa zote hizi wewe tu ? ,dirty ,classy ,funny,sex smart ...ila roho ndio sijajua kama inafanana na Idd AminCongrats, that's good.