Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Nimeupata Madam na nimeshaujibu piaKaribuu mwaliko umeupataa?
Asante sana
Nimeupata Madam na nimeshaujibu piaKaribuu mwaliko umeupataa?
Samahan kwan Ulipoamka Baba kasie hakuwepo.? Coz ungemuuliza yeye ingekuw simple kwelHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako

we jamaa umeongopaUongo huu umenisaidia kupata mtoto shauri yako

Ha ha ha ha wewe jipu kabisa.Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Unaona shida yenu sasa ? Wewe hujui nia yangu ilikuwa nini kuandika hivyo ..umeshanihukumu bure ila soma hadi mwisho wa uzi ndio utaelewaHa ha ha ha wewe jipu kabisa.
Wafuma mwikulu........umetokea ikulu.
Mwanawa Ntemi....mtoto wa mtemi/mfalme
Meikulu wangaluka mwanawantemi.... umeamkaje mtoto wa Mtemi??
Kama hujui kinyamwezi tuachie sisi wajukuu wa Mirambo
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app

Safi sana. Ntunzage, azwale, alye chiza, anone, abelele yaani apendeze, makofi yaya. Masimango yaya.Unaona shida yenu sasa ? Wewe hujui nia yangu ilikuwa nini kuandika hivyo ..umeshanihukumu bure ila soma hadi mwisho wa uzi ndio utaelewa
Na mtoto wenu sijui mjukuu wa mirambo nimeshamnyakua
Haya ndio mambo sasa nitamtunza na ata nona na kupendezaSafi sana. Ntunzage, azwale, alye chiza, anone, abelele yaani apendeze, makofi yaya. Masimango yaya.
Mulungu amsungulile Lubango
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
TTC jHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
TupoooooooUmenikumbusha hayati mzee Mwinamila, dereva kalewa gongo ha,sawa Hiyo mi sikijui kinyamwezi wanyamwezi mpoooooo
Acha uongoWamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Umemaanisha nini hapo?Nimpanga du mgosya, nanho ulewaywa?
Nikikufuma ikulu nikikufuma ikulu nakwangalia kama mlamba asali, kisha nakulamba risasi. Nimejaribu tuHabari ya asubuhi wapendwa,