Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

...Aliserema alija... serema serema alija...

ahsanteni kwa kunisikiliza...

Kasie Matata hebu kuja hapa uniletee mahaba
Habari ya asubuhi wapendwa,

Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.

Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....

Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)

Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.

Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Hakyamama maisha ni safari ndefu
 
Hakyamama naona kama mwisho wa dunia unakaribia... najaribu kuimajini Kasie anavozungusha chura lake kwa ragamafini wakati babu ODM kiuno changu kimekakamaa ragamafini naicheza kwa miondoko ya kwaito... wallah hata malaika mbinguni watasimama kuishangilia hii kombineshen...

Baada hapo Kassie atakuwa na kazi ya kummasaji babu maana kiuno kitakuwa kishakaza kama mchezaji mstaafu wa soka.

Sasa jaribu kuimajini mchezo kitandani wenye kombinesheni ya kwaito na ragamafini... Mungu hawezi kuichukulia kama dhambi bali atatupongeza kwa ubunifu... Maana ni kama mechi kati ya Mbeya City Vs Barcelona afu Messi awe golikipa.

Tufanye hima hili tukio lifanyike kabla tetemeko jingine hakijatokea Muleba

Wigowan...
 
Hehehehe... ngoja nikachukue tarumbeta la Masekela. Hapo kwenye besi usitie shaka... Barry White alishaniombaga nimuzime japo nusukilo ya besi langu...

BTW unaufahamu wimbo wa Barry White "practice what you preach?" Huo ntauwekea melody ya taarab ili umwimbee huyu @Yagamashika.... Naona ana maneno mengi kama Hadija Kopa wakati utendaji wake uko slow kama Dr. Shein.

Huyo ukimdeti na bahati mbaya ukapata ujauzito... utajifungua baada ya miezi 27. Yuko slow mpk kwenye kumbegusha.




From 2016 to 2022.....
 
Hukunitendea haki na hili ntakulalamikia mpaka tunadedi. Kwanini lakini?

Ngoja kwanza marehemu asijje kuamka...

Looh itabidi nimuombe babu ( jina lake limenitoka ila alikuwa bonge kwenye ki pikipiki kiduchuu - batavuuzii...!)

Huyo babu aje asuluhishe hili lalamiko....😅😅
 
Back
Top Bottom