Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #121
Mkuu nakuibia siri anapenda makuu kuliko makuu yenyewe siyo mtu cheap cheap so Sera zako na ahadi ziwe za ukweli mfano ndoa kufungiwa kwenye Sayari ya Mars yaani etc siyo maua na chips kuku atakwambia maua mpelekee nyuki...
Ntashangaa sana kama Yamakagashi unasikiliza kila cha kufanya unasubiri kuambiwa ndo ufanye...... anyways all the best.
Wacha nipumzike masaa kadhaa baadae nna kikao na presentation mahali flani.

