Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hata simjui sema napendaga offerMdelete kwenye moyo wako, afu uniweke mimi kaka yako.
Hata simjui sema napendaga offerMdelete kwenye moyo wako, afu uniweke mimi kaka yako.
Bibi yako wala hajui kusoma na kuandika...Ndio bibi yangu huyo ama?
Mhhh mbona umeshtuka ? Kassie maji marefu yale sio ? Teh tehMweeh nikajua geniveros kumbe @Kasie?Haya all the best
Babu huku tushatoka bana ,angalia Bepari asituharibie mambo yetuSijakuquote, nimekumensheni
We veepee?? Huoni umepigwa kibuti nan huyo bazazi mpenda vya watu??
Habari zilizotufikia hivi pundi ni kuwa huyu jamaa kashamtangulia Lowassa...Babu huku tushatoka bana ,angalia Bepari asituharibie mambo yetu
Eeeh kwani huyu naye yupo kwenye ile list ya walio mkashifu yule mzee ?Habari zilizotufikia hivi pundi ni kuwa huyu jamaa kashamtangulia Lowassa...
![]()
![]()
Kweli huyu Lowassa si mtu wa kisportsport
Soma hhapa...Eeeh kwani huyu naye yupo kwenye ile list ya walio mkashifu yule mzee ?
Kama movie vile ,hapa wananikumbusha mishe za Michael Corleone kuondoa wabaya wake akiwepo na kaka yake Freddo kwenye movie ya GodfatherSoma hhapa...
![]()
Huyu Edoboy nadhani kuna mahali kapakamata...Kama movie vile ,hapa wananikumbusha mishe za Michael Corleone kuondoa wabaya wake akiwepo na kaka yake Freddo kwenye movie ya Godfather
Ukiwa na imani ndogo unaweza kudhani kuna kamtandao ka Sicilian Mafia wanafanya yao ,kumbe hamna watu wanapotea kwa natural death
Au laigwanani amepasua chungu cha kimaasai nini ? Wanasema ile haichagi hata unyayo
Aisee inabidi wafanye hivyo ,halafu huu ukimya wa Laigwanani huwa unanitisha na pia ana mahesabu ya mbali sana ,kuna possibility jamaa anaweza kurudi kule alikotoka 2020 wampe bendera apeperushe ikiwa huyu wa sasa ataendelea hiviHuyu Edoboy nadhani kuna mahali kapakamata...
Hawa jamaa waombe poo, wataisha wakifanya masihara!
Nami namuahidi kura yangu...Aisee inabidi wafanye hivyo ,halafu huu ukimya wa Laigwanani huwa unanitisha na pia ana mahesabu ya mbali sana ,kuna possibility jamaa anaweza kurudi kule alikotoka 2020 wampe bendera apeperushe ikiwa huyu wa sasa ataendelea hivi
Si unaona specialist wetu wa ndovu kasema jamaa ni rafiki yake na huwa wanapigiana simu
Hahahaha ngoja tunyamaze zetu tuendelee kusoma tu mchezo ,alipo tupo ,siasa ni mchezo mchafu kama wanavyosema wenyewe masaa 24 ni mengi sana kwa mwanasiasa lolote laweza kutokeaNami namuahidi kura yangu...
Zee vumilivu sana hili...
Lipewe tu nchi tuone itakuwaje...
Ngosha kashatukimbiza vya kutosha
Wewe siyo Mnyamwezi. Ni mnyanyembe. Ungekuwa mnyamwezi ungejibu maana ya maneno aliyouliza mleta mada.Umelitupa jiwe gizani.
Mbona tumejaa humu jf, tena wa kumwaga?
Mdau naona kama Njiwa anaingia kwenye mtego wa karanga na mchele
Nilikutakia baraka ufanikiwe mpaka ushangae naona inaelekea kujibu all the best mkuu
Oooh no paper imeleak duh
Ila usijali pamoja na yote
Zawadi ya Ushindi umeikaribia vita ya Kagera imekwisha cha msingi nikuomba usipate accident safarini kurudi Dodoma toka Mtukura.
All the best...
Hahaha wewe jamaa lazima usimamie ndoa yetu ,hii vita tumepigana pamoja
Ila bado sana Kassie anaweza kuamka kesho kwa anayopewa na babu usiku wa leo akaishia kuniona kama mkia wa mbuzi ,upo tu lakini sijui una kazi gani
Finger crossed tuombe uzima
kasinde umenikumbusha enzi za mwinamilaHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Always have and always will sweetieWorry not, Kasie is very fine just missing you....... take a good care of yourself on this weekend...
Wakati ukiwa East unageuka kuelekea west, mimi babu ODM... yaani mimi mwenyewe Big Sam orijinale... ntakuwa natokea north kuelekea south kwa bodaboda... tafakari kitakachotokea hapo katikati kwenye junction. Unajua ajali nyingine hazihitaji trafiki kupima... kwa maana miezi tisa itakayofuata maternity ward itadhihirisha chanzo cha ajali.
Baada ya kusema hayo naomba kuweka msisitizo na kutoa ufafanuzi hapo kwenye red... kwamba lolote litakalomtokea huyu dogo Yamakagashi ... mi ntakuwa nahusika. Maana namsoma huku roho inaniuma... namsoma tu anavyokusarandia afu na wewe unamchekeachekea tu.
Mara ya mwisho kufanya mambo yangu ni siku nilipombadilisha mtu jinsia... then jinsia hiyo nikaiweka usoni. Imajin, kabla ya kumbadili mtu huyo alikuwa mwanaume... unaweza kuimagine ni kitu gani kilihamia usoni mwake... amin amin nakuambia afadhali mbuzi ya kwake samtaimz anaiziba na kufukuza nzi kwa mkia...
Nimemaliza.
Always have and always will sweetie
I hope the presentation went well though i don't doubt you but im just concerned
On your way home Grab a bar of chocolate or any Cognac of your choice
Get in a jacuzzi with glass of wine ,candles are lighted with Mariah Carey song always be my baby on the background imagining me holding you in my arms and crying tears of joy you know what i mean
And yeah i like it when you call me dady
I know you are exhausted sweetie
I miss you dearly till another time take care of your sweety self and be a good girl
Dady loves u