certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,402
- 816
cha nyumban 


Thanks You are such a darling kumbe ? ,mbona sifa zote hizi wewe tu ? ,dirty ,classy ,funny,sex smart ...ila roho ndio sijajua kama inafanana na Idd Amin
I will survive Kassie ,i will survive
Haha hivi Kassie babu takes a good care of you ? Forget about money and all other staffs ,does he cook for you ? Does he know that he's privileged to have you by his side ? What about breakfast in the bed ?Hahahaha hahahahahh full packed huh...
Nah not that much, just a little bit...
Hapo kwenye roho anajua Mola maana yeye ndo aliniwekea ya aina yake mie hata sijui mi najiona Kasie tuu na siku zinasonga heheheeh.
Umelitupa jiwe gizani.Wanyamwezi hawapo mitandaoni. Hapa utakutana na wanyanyembe tu.
Kweli hiki kinyanyembe. "Ulewaywa?"= upo ngangari? au haujambo au u mzima wa afya? Si eti? Dah! Umenikumbusha kulhugo.Nimpanga du mgosya, nanho ulewaywa?
Hufai hata bongo muvi... Uimbaji gani huu...Aliserema alija... serema serema alija...
ahsanteni kwa kunisikiliza...
Haha hivi Kassie babu takes a good care of you ? Forget about money and all other staffs ,does he cook for you ? Does he know that he's privileged to have you by his side ? What about breakfast in the bed ?
When was the last time he kissed you in your forehead and tell you hey don't worry you will be fine
How often does he say i love you wifey ,Im sorry ,.........
How often do you pray together ?
Sheesh im getting emotional
YaaaaaayHahahahahahah yuuuuu yuuuuu Yuuuu I luku luku yuuu hehehehehehehehee
When it comes to careness Kasie is almost helpless..... All the items you mentioned above ndo maugonjwa ya Kasie hayoo ukifanya hivo Kasie mbona hafurukutii wala hata aitwe na psii psii barabarani hageuki woow praying together. ... bed breakfast ooh my.... am getting emotional too....yaay.
Yaaaaaay
I real wana explore you ila naona utakuwa kama Serengeti plains vile sijui nini cha ku expect naweza fikiri nakutana na simba kumbe wapi ni Nyumbu wanavuka mto Mara ama naweza fikiri nakutana na Pundamilia kumbe Nyegere anatafuta aliyeiba asali zake amng'oe korodani ...
ila at the end sitajutia pia itakuwa moja ya adventure kubwa kwangu
Una multiple personality
Who is Kassie ?
Oyorapapoposhika ,rakasanda rabashika ,unanifanya ni nene kwa lughaKasie is the one and only always here in JF labda at okee Kasie 2 au Kasie mdogo na ikitokea mtu akaingia kwa hivyo ningependa anishirikishe kwanza.
I am who I am, as I've been portraying here in JF that's how I live. I don't have any double thing it's me myself and I.
If it's adventure to you, have fun and enjoy.
Umeongelea Serengeti plains umenikumbusha kesho nikalipie trip yangu ya kwenda park camp sites two nights in Nairobi in December. Kisha nione nta vacate wapi na wapi tena for conservative 30 days then new year narudi kazini mwepesiiii na nguvu mupyaa.
Mdau naona kama Njiwa anaingia kwenye mtego wa karanga na mchele
Nilikutakia baraka ufanikiwe mpaka ushangae naona inaelekea kujibu all the best mkuu




umenichekesha sana NEXT LEVEL Hapana!!!unatuingiza chakaWamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Haaahaaa mwambie Standard gauge ya reli ya kati ikikamilika utamnunulia aimiliki yeye, atakuwa na free pass kupanda Bombardier kwa destination apendayo, Kisima kimoja cha Gas ya Mtwara utampa, mafuta atajaza bure full tank kila akijisikia toka bomba la mafuta Uganda-Tanga,utampatia Ranch ya Ruvu kwa nyama choma na mishikaki,etc tuanzie hapo kwanza ukiona bado analeta kaugumu nicheck ili tupigilie misumali ya mwisho kwa kumwahidi Mbuga za wanyama kadhaa hatoki mkuu as long kafungua sikio kukusikiliza close the deal mkuu.umenichekesha sana NEXT LEVEL
Asante kwa baraka zako japo ndege mnana yupo very smart nashindwa kumcorner
Oyorapapoposhika ,rakasanda rabashika ,unanifanya ni nene kwa lugha
Humu Jf najua hakuna Kassie na hata akitokea hawezi kuwa kama Kassie hilo nime notice mda kidogo
Such a free soul
Oh im glad nimekukumbusha ukalipie tickets
Do you think we have anything in common ?
Why do you think men are stupid ?
Hahah Aiseeee hapa unaniingiza chaka kuna wa kuwaambia hivi ila sio KassieHaaahaaa mwambie Standard gauge ya reli ya kati ikikamilika utamnunulia aimiliki yeye, atakuwa na free pass kupanda Bombardier kwa destination apendayo, Kisima kimoja cha Gas ya Mtwara utampa, mafuta atajaza bure full tank kila akijisikia toka bomba la mafuta Uganda-Tanga,utampatia Ranch ya Ruvu kwa nyama choma na mishikaki,etc tuanzie hapo kwanza ukiona bado analeta kaugumu nicheck ili tupigilie misumali ya mwisho kwa kumwahidi Mbuga za wanyama kadhaa hatoki mkuu as long kafungua sikio kukusikiliza close the deal mkuu.
Duuuuh mwinamila ndo nani mkuuUmenikumbusha hayati mzee Mwinamila, dereva kalewa gongo ha,sawa Hiyo mi sikijui kinyamwezi wanyamwezi mpoooooo
Mkuu nakuibia siri anapenda makuu kuliko makuu yenyewe siyo mtu cheap cheap so Sera zako na ahadi ziwe za ukweli mfano ndoa kufungiwa kwenye Sayari ya Mars yaani etc siyo maua na chips kuku atakwambia maua mpelekee nyuki...Hahah Aiseeee hapa unaniingiza chaka kuna wa kuwaambia hivi ila sio Kassie
You need to know how she thinks ndio uweze kwenda naye sambamba
Nakesha naye hapa mpaka liamba ndio nijue kama najitosa au simuwezi